Antoinette
Member
- Dec 26, 2016
- 55
- 73
- Thread starter
- #61
Mkuu umeona ukaanze kuweka oda ya nguo ya harusi kabisaaa??? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bust, Waist, Hip and Dress Size Please!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeona ukaanze kuweka oda ya nguo ya harusi kabisaaa??? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bust, Waist, Hip and Dress Size Please!
Haha, mimi nakuelewa. Tatizo kingereza chake na mpangilio wa mawazo vina ukakasi,, ila hajui na hajui kama hajui!! Anataka phd kama faru john,, matusi kwa taalumaUngekuwa Una hold Master's degree ungenielewa...
Hata Mimi nahisi
Relax hapa sijaja kupimwa uelewa, stick to the main point.Haha, mimi nakuelewa. Tatizo kingereza chake na mpangilio wa mawazo vina ukakasi,, ila hajui na hajui kama hajui!! Anataka phd kama faru john,, matusi kwa taaluma
PoleMimi fundi mchundo tu lakini sifa zilizobaki ninazo
I undestand how it feels pale ambapo unakosa vigezo so take it easy!!Yani huko kote ulikopita hujapata mtu had unakuja kusaka humu jf ... inaonekana ushaitembeza sana ... kwataafifa yako humpati boya wakukutia humu [emoji57]
Maliza kwanza shule halafu uache kumendea hela za shem wako, utaolewa wewe!I undestand how it feels pale ambapo unakosa vigezo so take it easy!!
Maliza kwanza shule halafu uache kumendea hela za shem wako, utaolewa wewe!Yani huko kote ulikopita hujapata mtu had unakuja kusaka humu jf ... inaonekana ushaitembeza sana ... kwataafifa yako humpati boya wakukutia humu [emoji57]
Pole yako
Professional=professionalismHey Im not applying my professional here.
Naona umeacha mada kuu umeenda kwenye grammar, embu rudi kasome kuhusu profession, professionalism, na professional usome yatumika katika context gani halafu urudi.Professional=professionalism
And remember the one is adjective na nyingine noun so go and read wapi yanatumika na katika mazingira gani. Halafu utunge na sentensi kama mbili kwa kila neno, then ufananishe na hiyo ya kwangu.Professional=professionalism
haupo seriousAnd remember the one is adjective na nyingine noun so go and read wapi yanatumika na katika mazingira gani. Halafu utunge na sentensi kama mbili kwa kila neno, then ufananishe na hiyo ya kwangu.
Halafu kubagua nimebagua sehemu nyingi sana, mbona nilivyosema nataka mrefu hujasema nabagua wafupi? Au ubaguzi huwa unauona kwenye dini tu, au nimegusa maslahi?Wabaguzi wa kidini siwapendi
Hujanielewa sijahitaji mtu wa kunifadhili Phd, nimesema kama akatokea atakaekubali kuwa mpenzi basi aniruhusu kujiendeleza huko mbeleni as i have planned, Sponsor niliyomaanisha hapo siyo uliyoielewa!Binti mimi ndio sijakuelewa au nini, hebu nifafanulie kidogo nielewe.
Unataka mfadhili wa Phd yako au unataka mpenzi ambae badae aje akufadhili phd yako.
Kuna mahala umesema kama atakufadhili phd basi hutamcheat, je asipofadhili utamcheat?
Nisaidie hapo mama angu.