Aah! Memez, unataka wa red carpet nn? Maana vigezo vyako siyo vya husband material. Ni vya mtu wa kula bata naye. Waoaji ni Wale wenye miiili ya Kilkolomije, miguu pande, kichwa bapa na mgogo pinda. Hawa wakikuoa wanaganda kama ruba. Utamdekisha nyumba nzima na atakufulia. Utaishi kama malkia.
Hahaaaaaa [emoji23][emoji23]