Looking for a serious man to start a family with

Ila tuache uongo kumpata mwanaume wa miaka 34 mwenye akili yake nzuri, hajaoa, anayetafuta mchumba mitandaoni ni nadra km kuona mkojo wa kuku. Mwanaume wa maana hawezi kufikisha 34 yo and above hajaoa na akakubali kuoa mwanamke wa mtandaoni. Mna matatizo gani mpaka mshindwe kupata wachumba/wenzi kwenye mazingira mliyozaliwa na kukulia, kusoma, kufanya kazi, majirani na huko mnakoishi? Mnatuacha na maswali mengi sana mjue! Mathalani wewe unafanya kazi private sector km ulivyodai ina maana hakuna workmate aliyependezwa na wewe mkaanzisha familia? Unataka muingizane mikenge humu ndani!
 
Wanawake Narudia kuwambia ,endeleeni kushupaza shingo.

Hivi Mwanaume wa miaka 35, 36, 37 38 nakuendelea, yeye Hana Mchumba, Hana Mke ? Kwamba alikua anakusubiria wewe ?

Au unazungumzia Wagane na waloachana kwenye Ndoa ?.

Wewe sema, nataka Mwanaume ,mwenye kazi, awe mkristo, awe amekomaa, umri uanzie miaka 30 nakuendelea !!.

Wewe una miaka 34, Kwan ukiolewa na wamiaka 30 Kuna tatizo?.

Wanaume Waoaji wengi wako kwenye miaka 30--33 , hapa Ndipo wengi wanaoa.

Juu ya hapo, uyo mwanaume ana Matatizo yake binfsi, au ndo Hawa "Kataaa Ndoa, Ndoa ni utapeli , Ndoaa ni wizi".
😂😂😂
 
😂😂😂
Unacheka Mkuu.

Unajua these beautiful ladies Huwa nawashangaa sana wanapojiwekea limitations za umri.

Hawajui mwanaume sio umri Bali AKILI KICHWANI

Mwanaume angekua ni umri basi Ndoa za Wanawake waloolewa na wazee, zingekua na utulivuu sana.

Mwanaume ni Akili, jinsi anavyobeba familia, anavyomuishi Mkewe, anavyosimama kama baba wa familia , anavyopambana na Maisha , na mwisho amfanye mwanamke ajisikie Mwenye Amani.

Sasa hawaa wanakomaaaaa weeee na mambo ya ovyoooo.

35 ?? Huyo mwanaume awe hajaoa? Hana Mchumba? Hana watoto?

Yaan kama Hajafiwa Mke, basi katalakiana na Mkewe au Ana Matatizo ya nguvu ze kiume au bado ni wale wanaoamin kuoa mpaka awe nanyimba na gari na kazi nzuriii au tu kaamua kua Malaya wa Wanawake.

Huo ndio ukweli, muuelewe ivoivo !!
 
Mwisho wa siku wanazalishwa na wanaume za watu
 
true story kabisa
 
Umesikika daktari .
Hakuna atakayemueleza huu ukweli
 
Back
Top Bottom