True Man11
Member
- Oct 14, 2022
- 82
- 114
dooooooooooooooooooh"MACHUADI" ni yule mwanaume au mwanamke ambae AMEJICHUA kwa muda mrefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dooooooooooooooooooh"MACHUADI" ni yule mwanaume au mwanamke ambae AMEJICHUA kwa muda mrefu sana
SijuiMACHUADI ni kiswahili fasaha?
Ngoja nikachekee dirishani"MACHUADI" ni yule mwanaume au mwanamke ambae AMEJICHUA kwa muda mrefu sana
"MACHUADI" ni yule mwanaume au mwanamke ambae AMEJICHUA kwa muda mrefu sana
kizibo kwenye ubora wake
😂😂😂Wanawake Narudia kuwambia ,endeleeni kushupaza shingo.
Hivi Mwanaume wa miaka 35, 36, 37 38 nakuendelea, yeye Hana Mchumba, Hana Mke ? Kwamba alikua anakusubiria wewe ?
Au unazungumzia Wagane na waloachana kwenye Ndoa ?.
Wewe sema, nataka Mwanaume ,mwenye kazi, awe mkristo, awe amekomaa, umri uanzie miaka 30 nakuendelea !!.
Wewe una miaka 34, Kwan ukiolewa na wamiaka 30 Kuna tatizo?.
Wanaume Waoaji wengi wako kwenye miaka 30--33 , hapa Ndipo wengi wanaoa.
Juu ya hapo, uyo mwanaume ana Matatizo yake binfsi, au ndo Hawa "Kataaa Ndoa, Ndoa ni utapeli , Ndoaa ni wizi".
Unacheka Mkuu.
Mwisho wa siku wanazalishwa na wanaume za watuUnacheka Mkuu.
Unajua these beautiful ladies Huwa nawashangaa sana wanapojiwekea limitations za umri.
Hawajui mwanaume sio umri Bali AKILI KICHWANI
Mwanaume angekua ni umri basi Ndoa za Wanawake waloolewa na wazee, zingekua na utulivuu sana.
Mwanaume ni Akili, jinsi anavyobeba familia, anavyomuishi Mkewe, anavyosimama kama baba wa familia , anavyopambana na Maisha , na mwisho amfanye mwanamke ajisikie Mwenye Amani.
Sasa hawaa wanakomaaaaa weeee na mambo ya ovyoooo.
35 ?? Huyo mwanaume awe hajaoa? Hana Mchumba? Hana watoto?
Yaan kama Hajafiwa Mke, basi katalakiana na Mkewe au Ana Matatizo ya nguvu ze kiume au bado ni wale wanaoamin kuoa mpaka awe nanyimba na gari na kazi nzuriii au tu kaamua kua Malaya wa Wanawake.
Huo ndio ukweli, muuelewe ivoivo !!
true story kabisaWanawake Narudia kuwambia ,endeleeni kushupaza shingo.
Hivi Mwanaume wa miaka 35, 36, 37 38 nakuendelea, yeye Hana Mchumba, Hana Mke ? Kwamba alikua anakusubiria wewe ?
Au unazungumzia Wagane na waloachana kwenye Ndoa ?.
Wewe sema, nataka Mwanaume ,mwenye kazi, awe mkristo, awe amekomaa, umri uanzie miaka 30 nakuendelea !!.
Wewe una miaka 34, Kwan ukiolewa na wamiaka 30 Kuna tatizo?.
Wanaume Waoaji wengi wako kwenye miaka 30--33 , hapa Ndipo wengi wanaoa.
Juu ya hapo, uyo mwanaume ana Matatizo yake binfsi, au ndo Hawa "Kataaa Ndoa, Ndoa ni utapeli , Ndoaa ni wizi".
Umesikika daktari .Unacheka Mkuu.
Unajua these beautiful ladies Huwa nawashangaa sana wanapojiwekea limitations za umri.
Hawajui mwanaume sio umri Bali AKILI KICHWANI
Mwanaume angekua ni umri basi Ndoa za Wanawake waloolewa na wazee, zingekua na utulivuu sana.
Mwanaume ni Akili, jinsi anavyobeba familia, anavyomuishi Mkewe, anavyosimama kama baba wa familia , anavyopambana na Maisha , na mwisho amfanye mwanamke ajisikie Mwenye Amani.
Sasa hawaa wanakomaaaaa weeee na mambo ya ovyoooo.
35 ?? Huyo mwanaume awe hajaoa? Hana Mchumba? Hana watoto?
Yaan kama Hajafiwa Mke, basi katalakiana na Mkewe au Ana Matatizo ya nguvu ze kiume au bado ni wale wanaoamin kuoa mpaka awe nanyimba na gari na kazi nzuriii au tu kaamua kua Malaya wa Wanawake.
Huo ndio ukweli, muuelewe ivoivo !!
Na ana mtoto mmoja, mbona umeiruka hii?Mwanamume mkiristo
Kuanzia miaka 34 na kuendelea
Awe na kipato halali
Awe machuadi, akaribie pm yake
Mim napita zangu shwaaaaaUmesikika daktari .
Hakuna atakayemueleza huu ukweli
Ndioo Mkuutrue story kabisa
Ndio, Kwan hapo unadhan kinachofatwa nn??.Mwisho wa siku wanazalishwa na wanaume za watu