34 yrs and above, mwanaume aliye serious awe single? Ww mwenyewe ushakuwa na mtoto tayari 34 yrs, yaani ulikuwa na mahusiano tayari, alafu thru miracles, unataka 34 yrs man awe single, are you dreaming? It seems like umeumizwa huko katika previous relationship sasa unataka mwanaume single 34 yrs upooze machungu, mbona kama uko na haraka sana.. Labda uwe mke wa pili au nyumba ndogo chances zipo walau, soko gumu sana dada yangu, soko la akina dada kwa sasa sio rahisi hivyo, hali ngumu uchumi, alafu si unajua kuna vita Ukraine na Russia, inaharibu mapenzi pia, wanaume wengi wanakufa vitani na hali ya uchumi wanaume waliobakia wanakimbia majukumu..
Kubali kuwa mke mdogo au nyumba ndogo, hapo probability yako itapanda kupata mwanaume 34 yrs and above aliye serious, ila kama unataka tu 34 yrs boda boda wako wengi, kila la kheri