Wanawake Narudia kuwambia ,endeleeni kushupaza shingo.
Hivi Mwanaume wa miaka 35, 36, 37 38 nakuendelea, yeye Hana Mchumba, Hana Mke ? Kwamba alikua anakusubiria wewe ?
Au unazungumzia Wagane na waloachana kwenye Ndoa ?.
Wewe sema, nataka Mwanaume ,mwenye kazi, awe mkristo, awe amekomaa, umri uanzie miaka 30 nakuendelea !!.
Wewe una miaka 34, Kwan ukiolewa na wamiaka 30 Kuna tatizo?.
Wanaume Waoaji wengi wako kwenye miaka 30--33 , hapa Ndipo wengi wanaoa.
Juu ya hapo, uyo mwanaume ana Matatizo yake binfsi, au ndo Hawa "Kataaa Ndoa, Ndoa ni utapeli , Ndoaa ni wizi".