Tatizo wanaume tukiwazidi umri mnatuitaga mishangazi🤣🤣🤣Ndio, Kwan hapo unadhan kinachofatwa nn??.
Alafu hivi nani aliwaambia,Mwanaume lazima amzidi umri mwanamke ??
Yaan Unaacha kuolewa na kijana wa miaka 29 kisa ye mwanamke namiaka 33, alivyo na akili kidogo, anapenda kuzalishwa na Mume wamtu !!
Aaahhh banaaa mkishapendana inabaki ,huyu Ni Mume wangu..huyu ni Mke wangu .Tatizo wanaume tukiwazidi umri mnatuitaga mishangazi🤣🤣🤣
Aaa wapi, ukija kustuka kapata kibinti kidogo, anakuaga anakwambia nimepata size yangu.Aaahhh banaaa mkishapendana inabaki ,huyu Ni Mume wangu..huyu ni Mke wangu .
Mwanaume anabaki kua mwanaume, kUNA WAKATI anakukiromea, Kuna wakat anakupetipeti, Kuna wakati vibao vya makalio paaaa paaaa Usirudie ujinga wako hapa..Kuna wakati anakubbelezaaa ,Anakupigia Mashinee,. Anakutoa out ..anakupa Mimba, anakuletea zawadi..mnafanya Maendeleo ,kuja kushtuka mmezeeka pamoja.
It's better aondokeee lkn Ijulikane ulikua umeolewa ,ila mwanaume Kawa mjinga tu kaamua KUKUACHA .Aaa wapi, ukija kustuka kapata kibinti kidogo, anakuaga anakwambia nimepata size yangu.
Kuna taarifa ya muhimu sana umeiacha kwa muujibu wa vijana wa JF. Ni taarifa muhimu mno, hebu wape bana ndugu "mkariwoman".Mwanamume mkiristo
Kuanzia miaka 34 na kuendelea
Awe na kipato halali
Awe machuadi, akaribie pm yake
Hiyo machuadi lugha bado imoooMwanamume mkiristo
Kuanzia miaka 34 na kuendelea
Awe na kipato halali
Awe machuadi, akaribie pm yake
Hello members!
Im a Christian woman of 34 with one kid, looking for a serious man to start a family with. I am employed in private sector.
If you mean it, 34 years/above, have legal earning, Christian and matured enogh, welcome to my Dm.
Ndio, Kwan hapo unadhan kinachofatwa nn??.
Alafu hivi nani aliwaambia,Mwanaume lazima amzidi umri mwanamke ??
Yaan Unaacha kuolewa na kijana wa miaka 29 kisa ye mwanamke namiaka 33, alivyo na akili kidogo, anapenda kuzalishwa na Mume wamtu !!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], as you talk from your experience.Wanawake wanao penda sana kuongea kiingereza ni wa juaji kama una bisha mjaribu huyu.
Matured: aliyepevuka akili, aliyetuliza akili inshort anataka mwanaume mwenye uwezo wa kuamua na kuongoza maisha yake l.Hiyo machuadi lugha bado imooo
Mkuu mbona una dharau watu........kuna mwenzio kama ww yeye alipata ajali usiku wa saa 6 kaingia mtaroni boda wa shift ya usiku wakawa hawana time naye.34 yrs and above, mwanaume aliye serious awe single? Ww mwenyewe ushakuwa na mtoto tayari 34 yrs, yaani ulikuwa na mahusiano tayari, alafu thru miracles, unataka 34 yrs man awe single, are you dreaming? It seems like umeumizwa huko katika previous relationship sasa unataka mwanaume single 34 yrs upooze machungu, mbona kama uko na haraka sana.. Labda uwe mke wa pili au nyumba ndogo chances zipo walau, soko gumu sana dada yangu, soko la akina dada kwa sasa sio rahisi hivyo, hali ngumu uchumi, alafu si unajua kuna vita Ukraine na Russia, inaharibu mapenzi pia, wanaume wengi wanakufa vitani na hali ya uchumi wanaume waliobakia wanakimbia majukumu..
Kubali kuwa mke mdogo au nyumba ndogo, hapo probability yako itapanda kupata mwanaume 34 yrs and above aliye serious, ila kama unataka tu 34 yrs boda boda wako wengi, kila la kheri
Mimi sijui machuadi 🤣Mwanamume mkiristo
Kuanzia miaka 34 na kuendelea
Awe na kipato halali
Awe machuadi, akaribie pm yake
Hello members!
Im a Christian woman of 34 with one kid, looking for a serious man to start a family with. I am employed in private sector.
If you mean it, 34 years/above, have legal earning, Christian and matured enogh, welcome to my Dm.
Mungu akupe hitaji la moyo wako.Hello members!
Im a Christian woman of 34 with one kid, looking for a serious man to start a family with. I am employed in private sector.
If you mean it, 34 years/above, have legal earning, Christian and matured enogh, welcome to my Dm.
Hatari sana...Ila tuache uongo kumpata mwanaume wa miaka 34 mwenye akili yake nzuri, hajaoa, anayetafuta mchumba mitandaoni ni nadra km kuona mkojo wa kuku. Mwanaume wa maana hawezi kufikisha 34 yo and above hajaoa na akakubali kuoa mwanamke wa mtandaoni. Mna matatizo gani mpaka mshindwe kupata wachumba/wenzi kwenye mazingira mliyozaliwa na kukulia, kusoma, kufanya kazi, majirani na huko mnakoishi? Mnatuacha na maswali mengi sana mjue! Mathalani wewe unafanya kazi private sector km ulivyodai ina maana hakuna workmate aliyependezwa na wewe mkaanzisha familia? Unataka muingizane mikenge humu ndani!