Looking for a serious man to start a family with

You are not God,dont judge!
 
Hello members!

Im a Christian woman of 34 with one kid, looking for a serious man to start a family with. I am employed in private sector.

If you mean it, 34 years/above, have legal earning, Christian and matured enogh, welcome to my Dm.
Nimeelewa Christian tu. Anyway mnaoelewaga hayo mavimombo kazi kwenu. Humo ndani itakua full ung'eng'e
 
Hello members!

Im a Christian woman of 34 with one kid, looking for a serious man to start a family with. I am employed in private sector.

If you mean it, 34 years/above, have legal earning, Christian and matured enogh, welcome to my Dm.
Your fooolish bro
 
Si kweli ,kila mtu anamapito yake
 
But my dear, how can u find a serious man if u are not serious yourself?
 
Ndio maana huwa tunasisitiza sana wanawake wawe serious na mahusiano kabla hawajavuka miaka 25. Maana kuanzia 26 ni changamoto zinaanza kutengenezwa.
 
😀😀wanaume wa humu wengi wanastress sana alafu single mother sijui Kosa lao nn Yan mtu akisema ana mtoto wanapanick
 
Huyu kaandika kidhungu ili kupata standard lakini kajiroga...............tumia lugha yako Tu mama upate kusudio MTU atambue ni jinsi gani uko seriously.....lakini you know.....you know zikizidi utaambulia kuliwa kimasikhara
 
😀😀wanaume wa humu wengi wanastress sana alafu single mother sijui Kosa lao nn Yan mtu akisema ana mtoto wanapanick
Huwa mnarudigi kugongwa na mliozaa nao, haya mambo mbona yapo sana tu kwenye jamii ndo maana vijana wanajitoa, mwanamke akishazaa ni changamoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…