Looking for a serious man to start a family with

Looking for a serious man to start a family with

Hello members!

I am a 34-year-old Christian woman with one child, looking for a serious man to start a family with. I am employed in the private sector.

If you meet the following criteria - 34 years or older, with a legal source of income, Christian, and mature - welcome to my PM."
Hahaha kwahiyo kwasasa vile vigezo vyako umevipunguza? Like awe mrefu, kifua kipana, handsome boy flan hivi na awe na hela nyingi. Anyways,,,all the best
 
Ndio maana huwa tunasisitiza sana wanawake wawe serious na mahusiano kabla hawajavuka miaka 25. Maana kuanzia 26 ni changamoto zinaanza kutengenezwa.
Wakifika 30yrs wanataka mtu mwenye gari sijui wanampataga
 
Ndio maana huwa tunasisitiza sana wanawake wawe serious na mahusiano kabla hawajavuka miaka 25. Maana kuanzia 26 ni changamoto zinaanza kutengenezwa.
Mahusiano hayana formula mkuu,unaweza kuanza serious ukiwa na 25 na yasidumu na ukaanza ukiwa 30+ na yakadumu,ni Imani tu
 
Hello members!

I am a 34-year-old Christian woman with one child, looking for a serious man to start a family with. I am employed in the private sector.

If you meet the following criteria - 34 years or older, with a legal source of income, Christian, and mature - welcome to my PM."
Huyo aliyekuzalisha kwanini hajakuoa?tuanzie hapo kwanza...
 
Uje kwangu countrywide, ila lazima tukae kipindi Cha miezi 6 ya matazamio. Hizi pesa kula mwenyewe naona najidhulumu sana
 
Hao
Ila tuache uongo kumpata mwanaume wa miaka 34 mwenye akili yake nzuri, hajaoa, anayetafuta mchumba mitandaoni ni nadra km kuona mkojo wa kuku. Mwanaume wa maana hawezi kufikisha 34 yo and above hajaoa na akakubali kuoa mwanamke wa mtandaoni. Mna matatizo gani mpaka mshindwe kupata wachumba/wenzi kwenye mazingira mliyozaliwa na kukulia, kusoma, kufanya kazi, majirani na huko mnakoishi? Mnatuacha na maswali mengi sana mjue! Mathalani wewe unafanya kazi private sector km ulivyodai ina maana hakuna workmate aliyependezwa na wewe mkaanzisha familia? Unataka muingizane mikenge humu ndani!
Hao waliopo katika mazingira uliyoyataja ndo hawa hawa hapa jf na mitandao mingine, ebu jiulize wewe upoje na kwann upo hapa kaka watu wa hapa sio sahihi???
 
Hapo kwenye swala la kuwa na Kazi, unalimit mwenye nia ya dhati....ambae alikuwa kwenye ajira na kwa sasa hana ajira....

Ingependeza ungesema mwenye ujuzi wowote/ fani inayoweza kumuingia kipato....

ajira zimekuwa ngumu....bila kurefusha mkono hupati ajira...

Kwa kuwa wewe tayari uko kwenye mfumo......

Je utakuwa tayari kuhonga kwaajili ya umpendae apate ajira!?....nae akuhonge upendo hadi ndoa!....maisha ni kusaidiana siku hizi mama
 
Mahusiano hayana formula mkuu,unaweza kuanza serious ukiwa na 25 na yasidumu na ukaanza ukiwa 30+ na yakadumu,ni Imani tu
Hapo umeongelea bahati mbaya against kawaida. Ni sawa na kusema ng'ombe kuua mwanadamu ni kawaida sawa na mwanadamu kuua ng'ombe kwaajiri ya kitoweo.

Hapa tunazungumzia binti chini ya miaka 25 kwa kuzingatia vigezo vyote muhimu kama kujitunza, kuwa na maadili, kujishimu, kujitambua, kutokea familia yenye misimamo na maadili mazuri, kuwa mshika imani na kuwa karibu na MUNGU, kuwa na haiba ya mke na sio tu kuwa mwanamke, kuwa na elimu ya uzazi na malezi, kuwa msafi wa mwili na akili.

Unajua unapojadili matokeo ni vema kuwa detailed kuhusu process iliyopelekea matokeo husika.

Huwezi nambia itokee tu binti wa miaka 25 below akose kuwa engaged kwasababu tu hajawa engaged tukianza mchambua hapo utaanza kuona vijisababishi ambavyo tukivijumlisha unakuja kupata 60% and above common traits ambavo zinasababisha ni kwann wanaume wasione sababu ya kukaa nae.

Kuolewa sio swala la bahati au ajali ni swala la maandalizi. Kuna binti ukikutana naye hata kama utampenda ukianza kumkagua na kuona kuanzia tabia zake, fikra zake, familia yake, ndugu zake na marafiki unajua huyu mimi sitoweza kuoa na hakuna mwanaume atakuja weka ndani huyu mtu na hata akiweka amekaribisha msiba wa furaha katika maisha yake yote.
 
Hello members!

I am a 34-year-old Christian woman with one child, looking for a serious man to start a family with. I am employed in the private sector.

If you meet the following criteria - 34 years or older, with a legal source of income, Christian, and mature - welcome to my PM."
Huyu sasa ndio mke. Hana mambo mengi. Kelsea na financial services
 
Ser
Hello members!

I am a 34-year-old Christian woman with one child, looking for a serious man to start a family with. I am employed in the private sector.

If you meet the following criteria - 34 years or older, with a legal source of income, Christian, and mature - welcome to my PM."
Serious kama mimi au asinifikie mimi?
Ila upo very brief and straight, I like that. Ngoja nijiangalie kwenye kioo kama ninakidhi vugezo.
 
Hello members!

I am a 34-year-old Christian woman with one child, looking for a serious man to start a family with. I am employed in the private sector.

If you meet the following criteria - 34 years or older, with a legal source of income, Christian, and mature - welcome to my PM."
Taja kwanza hiyo private sector, maana hata zile saloon zetu za kupiga massage nazo ni private sector pia!!
 
Back
Top Bottom