Looking for God fearing husband who is ready to settle

Looking for God fearing husband who is ready to settle

Mi nafahamu siku zote mashabiki wa ile timu wengi ni wazee, afu kutwa kumdis Onyango

Halafu nina mashaka kwenye ile cabinet ya wazee kususia bidhaa za Azam kuna uwezekano wewe ndiye uliyetoa wazo.
Aisee mambo ya kule yaache kule kule. Hata wewe kuna wakati ukifika utaitwa Mzee. Hivyo usinisagie kunguni, na hivyo kunisababishia nikakosa mke.
 
Usipokuwa financial stable at least basi uwe na positivite mindset.hoja zako zote nimezijibu kwenye bandiko langu,karudi usome tena
Na mimi ninakurudisha usome kua
Advantage unayoitafuta huku ni yakuokata asiyekujua ila wa huku ndio wa huko.

Sitaki kusema kwamba wa huko wanakujua vizuri ndio maana jua linazama, hapana sisemi hivyo.
 
Kwanini zisiwepo kwani unafikiri wewe na hiyo ID yako hata usingejitangaza unahisi vijana wasingekuja kukuomba uhusiano ?

Mungu akupe hitaji la moyo wako ila kuwa makini wengi hapa ni fake life , mtu anaweza kukufekia mpaka sauti na jinsi ya kutembea ili umpende [emoji3][emoji3]

God exist,na anasaidia pale anapoitwa.huoni exclusive people wanavyoishia kujisema wenyewe huku[emoji23][emoji23]
 
Na mimi ninakurudisha usome kua
Advantage unayoitafuta huku ni yakuokata asiyekujua ila wa huku ndio wa huko.

Sitaki kusema kwamba wa huko wanakujua vizuri ndio maana jua linazama, hapana sisemi hivyo.

Acha machungu bana ya maisha,wa huku wengi wameshawahiwa au we dont match.
 
I have all the qualities but I am married. Are you ready to be wife number two (special one a.k.a mziwanda)?
 
30 -35 wanaume ndo wanakuwa wa moto na huvutia wanawake wengi ..
 
Guys i will not reply again to unnecessay comments,you have the qualifications njoo pm,not qualified skip bandiko langu.
You are married skip
You are below or above recommended age skip
You are not stable to settle skip
You dont trust this process skip
Kingereza kibaya kimekukera skip
Jua limezama skip
Watanitapeli-is not for you to judge,let me take the risk,mtaani pia matapeli wamejaa
Plzzzzzzz mnipe nafasi ya kujibu pm za serious people
All in all kila jambo tunamtegemea Mungu
 
Kwahiyo tukutumie birth certificate na academic certificates then tukae tayar kwa kuitwa kwenye interview....
 
You have not said anything about your size, colour, interests, your origin and shape.
You have not stated anything about your past relationships
 
You have not said anything about your morphology , you know what attracts most young men these days.
Taarab imo?

Does your mother have???am not here for morphology transaction.mniache basii nijibu pm mbona watu wachokozi
 
Ukikosa kabisa Njoo kwangu!
Naitwa POTELEA MBALI
 
Back
Top Bottom