Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Aisee mambo ya kule yaache kule kule. Hata wewe kuna wakati ukifika utaitwa Mzee. Hivyo usinisagie kunguni, na hivyo kunisababishia nikakosa mke.Mi nafahamu siku zote mashabiki wa ile timu wengi ni wazee, afu kutwa kumdis Onyango
Halafu nina mashaka kwenye ile cabinet ya wazee kususia bidhaa za Azam kuna uwezekano wewe ndiye uliyetoa wazo.