Looking for lifetime partner

Looking for lifetime partner

jamani si kama napenda kujiweka low profile ndiyo uhalisia huo mkuu, naamini wakati wa Mungu ni wakati sahihi, pole kwa huyo brother wako ila huenda hilo ndiyo chaguo lake Mungu alompangia.
Hilo lakusema ni chaguo lake Mungu amempangia hapo hapana nakataa anan'ga'gania mwanamke ambaye anamcheat na anaambiwa kabisa na ushahidi anapewa na huyo mwanamke asiye na haya haitoshi anamwambiwa mama mkwe wake eti kuna rafiki yangu mmoja anaitwa Jason (Mwanaume) anakaa Mwanza ameniomba niende kwake nikae kama wiki ananitafutia kazi bibie financial services hapa kweli kuna mwanamke? Unaweza kuita huyu manzi kapangiwa na Mungu kuwa nae?
 
Humu ukipata ni inbox wengi wanaume wa humu wameelaniwa wamechoka kuishi wanasubiri mtu awapige na kitu kizito kichwani wafe .
Hata nguvu za kiume hawanaga wameishia kusema tu humu kuna malaya hata mechi wanakimbia .
Ili kuepuka aibu.
Kwa hiyo best huku haupo sehemu sahihi penda kwenda kanisani au mahali penye watu wengi .
Humu mmh umekosea nilikuwa na karipiwa najion mie mjanja ila nimejuA walikuwa wananitakia wameprogramiwa aisee hujui tu .
Hawajitambui
Huchoki kulalamika?
 
Natamani nije pm ila naogopa toka siku ile nilipo mfuata mmoja mwenye uhitaji kama wewe akageuka kuwa askari polisi [emoji23][emoji23] sio kwa maswali yale , nikaishia kudelete convo na kumuunfollow
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu ukipata ni inbox wengi wanaume wa humu wameelaniwa wamechoka kuishi wanasubiri mtu awapige na kitu kizito kichwani wafe .
Hata nguvu za kiume hawanaga wameishia kusema tu humu kuna malaya hata mechi wanakimbia .
Ili kuepuka aibu.
Kwa hiyo best huku haupo sehemu sahihi penda kwenda kanisani au mahali penye watu wengi .
Humu mmh umekosea nilikuwa na karipiwa najion mie mjanja ila nimejuA walikuwa wananitakia wameprogramiwa aisee hujui tu .
Hawajitambui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh sanaaa
 
Back
Top Bottom