Lord Eyes badilika tabia ya kuokota Malaya haikufai

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Lord eyes popote ulipo huu ujumbe ukufikie sio kwamba ninakuogopa kukuchana face to face ila nimeepusha shari isiyo na msingi.

Lord eyes tabia ya kuokota okota malaya hovyo itakutokea puani ,ipo siku utapigwa picha za uchi bila kujijua mwisho wa siku ukaishia kuaibika.

Malaya wengi wanalalamika kwamba wewe ni mbahili mnoo yani unaweza ukaonesha burungutu la fedha mwisho wa siku ukaishia kutoa elfu 10 tu ikizidi sana elfu 20 na ndiyo maana malaya wengi wanaokujua hawakupapatikii hata kidogo kwa sababu ya ubahili wako .

Lord eyes tabia ya kuomba kununuliwa bia na tabia ya kutaka mademu za watu kinguvu ni tabia ya kishamba ipeleke kwenu hukooo arusha huku dar hiyo tabia ukiiendekeza itakutokea puani.

Kingine lord eyes acha bhangi ,bhangi ukiiendekeza itakushawishi urudie tena matumizi ya unga mwisho wa siku ukaishia kupotea kama Chidy benzi.
 
Kwahiyo unamaanisha Mnako Lord Eyez?
Au kuna mwingine?
 
Kwaiyo Lord Eyes yupo humu?,...wanaume wa Dar ni lini mtaacha kufuatilia maisha ya watu....huyo Lord Eyes mbona ni mtu mzima,anaelewa baya na zuri.....mazee tupambane kutafuta hela,hizi stori pelekeni vijiwe vya kahawa!
Hata kama hayupo humu ujumbe utamfikia tu.
 
Hata kama hayupo humu ujumbe utamfikia tu.

Nimependa hii mistari
"Malaya wengi wanalalamika kwamba wewe ni mbahili mnoo yani unaweza ukaonesha burungutu la fedha mwisho wa siku ukaishia kutoa elfu 10 tu ikizidi sana elfu 20 na ndiyo maana malaya wengi wanaokujua hawakupapatikii hata kidogo kwa sababu ya ubahili wako"

Ndiyo inavyotakiwa hivyo, pesa unatakiwa utoe kwa mchumba na mke tu na siyo kwa malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…