Lord Eyes badilika tabia ya kuokota Malaya haikufai

Umenikumbusha kuna jamaa alimwonesha dem hela akaweka chin ya mto akala mzigo akasepa kumbe akasepa naile hela demu anakuja kuangalia hela haipo akawa kaliwa mkopo
 
Unazingua Mdau
Km jamaa kashapita we kausha tuu kibingwa maisha yaende.

Halafu Uzi wako hauna hata picha kadhaa kudhibitisha unachozungumza zaid ya Majungu
 
Namnukuu lord eyes

"Yule yule aliejupandisha ndio atakaekushusha, sisi tunazidi sababisha haya yote sio maisha" "macho kwenye fedha dizaini ya umbwa msaka fefha, kuhusu mchezo ni vita na hivi ndivyo tunavyovicheza"
"Marafiki wanafiki ma bitch wana sneach, na nikihitaji msaada wanajeshi wapo fiti"
"Tumezaliwa kupambana, hatupo hapa kurumbana, jealous sio mzuka kaa chini tuongee vya maana,"

Mwisho wa kunukuu
 
Hawatuwezi, iko wazi N2N soldiers.
 
Back
Top Bottom