Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #41
sawaNamnukuu lord eyes
"Yule yule aliejupandisha ndio atakaekushusha, sisi tunazidi sababisha haya yote sio maisha" "macho kwenye fedha dizaini ya umbwa msaka fefha, kuhusu mchezo ni vita na hivi ndivyo tunavyovicheza"
"Marafiki wanafiki ma bitch wana sneach, na nikihitaji msaada wanajeshi wapo fiti"
"Tumezaliwa kupambana, hatupo hapa kurumbana, jealous sio mzuka kaa chini tuongee vya maana,"
Mwisho wa kunukuu
Kwaiyo mkuu amekutia akakupa buku teni?Lord eyes popote ulipo huu ujumbe ukufikie sio kwamba ninakuogopa kukuchana face to face ila nimeepusha shari isiyo na msingi.
Lord eyes tabia ya kuokota okota malaya hovyo itakutokea puani ,ipo siku utapigwa picha za uchi bila kujijua mwisho wa siku ukaishia kuaibika.
Malaya wengi wanalalamika kwamba wewe ni mbahili mnoo yani unaweza ukaonesha burungutu la fedha mwisho wa siku ukaishia kutoa elfu 10 tu ikizidi sana elfu 20 na ndiyo maana malaya wengi wanaokujua hawakupapatikii hata kidogo kwa sababu ya ubahili wako .
Lord eyes tabia ya kuomba kununuliwa bia na tabia ya kutaka mademu za watu kinguvu ni tabia ya kishamba ipeleke kwenu hukooo arusha huku dar hiyo tabia ukiiendekeza itakutokea puani.
Kingine lord eyes acha bhangi ,bhangi ukiiendekeza itakushawishi urudie tena matumizi ya unga mwisho wa siku ukaishia kupotea kama Chidy benzi.View attachment 1084752
Asifiaye mvua.....!duh! wewe umejuaje jamaa hawapi hela!!!?
Mbona inatosha sana? Alitaka apewe meli?Kwaiyo mkuu amekutia akakupa buku teni?
Kwamba ni kweli hawapagi hela baada ya kuwakuleni?lord eyez namjua , hayo malalamiko unayosema ni kweli tupu, alianza kuvuta bangi toka yuko form one, bange kwake ni kama chakula
Yaani nikisikiaga hili jina nakumbuka ugonjwa wa red eyes
Huu ugonjwa ulikuwa hauna adabu jamaniUlitusumbua sana huo ugonjwa enzi za chuo
Huu ugonjwa ulikuwa hauna adabu jamani
Basi tulia nae wewe uwe unamtimizia haja zake naamini hatookota tena malayaLord eyes popote ulipo huu ujumbe ukufikie sio kwamba ninakuogopa kukuchana face to face ila nimeepusha shari isiyo na msingi.
Lord eyes tabia ya kuokota okota malaya hovyo itakutokea puani ,ipo siku utapigwa picha za uchi bila kujijua mwisho wa siku ukaishia kuaibika.
Malaya wengi wanalalamika kwamba wewe ni mbahili mnoo yani unaweza ukaonesha burungutu la fedha mwisho wa siku ukaishia kutoa elfu 10 tu ikizidi sana elfu 20 na ndiyo maana malaya wengi wanaokujua hawakupapatikii hata kidogo kwa sababu ya ubahili wako .
Lord eyes tabia ya kuomba kununuliwa bia na tabia ya kutaka mademu za watu kinguvu ni tabia ya kishamba ipeleke kwenu hukooo arusha huku dar hiyo tabia ukiiendekeza itakutokea puani.
Kingine lord eyes acha bhangi ,bhangi ukiiendekeza itakushawishi urudie tena matumizi ya unga mwisho wa siku ukaishia kupotea kama Chidy benzi.View attachment 1084752
Haya brother wa vwawaKwaiyo Lord Eyes yupo humu?,...wanaume wa Dar ni lini mtaacha kufuatilia maisha ya watu....huyo Lord Eyes mbona ni mtu mzima,anaelewa baya na zuri.....mazee tupambane kutafuta hela,hizi stori pelekeni vijiwe vya kahawa!
Duuh tetekuwanga sikuwahi kukutana nayoWatu ilikuwa full kukimbiana.Kuna muda ilifuatiwa na tetekuwanga
Duuh tetekuwanga sikuwahi kukutana nayo
hapo utakuwa umeanza kuloa kwa kufikiria kwamba hata pembe nalo litakuwa na kimo kama yeye! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila mshikaji ana height tamu jaman
Enzi za 2012 Udsm ilitesa sana
hawamjui vizuri lord eyes hawa ndio maana wanahisi ninamsingizia.lord eyez namjua , hayo malalamiko unayosema ni kweli tupu, alianza kuvuta bangi toka yuko form one, bange kwake ni kama chakula
Lord eyes hakutaki tafuta basha mwingine yeye muache na malaya wake wa elfu 10.hawamjui vizuri lord eyes hawa ndio maana wanahisi ninamsingizia.