Lori la mercedes- Benz limebeba caterpilLar

Lori la mercedes- Benz limebeba caterpilLar

MACK vipi?
2012_0731-Cat797_05.jpg

Usichezee Malori ya Kijerumani ni malori yenye nguvu kupita malori ya aina yoyote ile duniani.
 
USA wana mchezo kuwa kwa usalama wa vitu vyao na watumiaji, ni wao tu wanaweza kugusa. Hivyo kwa Mroli mkubwa kama huo, ni wao tu wanaweza kuhangaika nalo. Hata ndege huwa hawaruhusu uweke vipande vyako ulivyotengeneza mwenyewe hasa kwa zile party za nje ya ndege.

Sasa ukisema ulikatekate hilo na kuja kuliunga si kasheshe?

caterpillar797_giant_truck.jpg
795-Assembly-Collage-2012-sm.jpg

Uongo mwingine wa photo duka, je huo mzigo ulishindwa kusafirisha ukiwa vipande vipande?
 
USA wana mchezo kuwa kwa usalama wa vitu vyao na watumiaji, ni wao tu wanaweza kugusa. Hivyo kwa Mroli mkubwa kama huo, ni wao tu wanaweza kuhangaika nalo. Hata ndege huwa hawaruhusu uweke vipande vyako ulivyotengeneza mwenyewe hasa kwa zile party za nje ya ndege.

Sasa ukisema ulikatekate hilo na kuja kuliunga si kasheshe?

caterpillar797_giant_truck.jpg
795-Assembly-Collage-2012-sm.jpg

MARK, Mercedes, na Caterpillar ni ngoma nzito, ila kuna zingine zinajitahidi kama Man, International, peterbilt, Kenwoth
 
Naomba kujua uzito wa hilo cat! !!!!
Mkuu wewe ndio uko karibu na jibu la ukweli.
Hapo mambo yote ni tare weight(au dead weight) ya hilo CAT.
Ukubwa usikutishe, suala ni huo uzito unavyo bebwa na hilo flat-bed linalovutwa na hilo Benz.
 
USA wana mchezo kuwa kwa usalama wa vitu vyao na watumiaji, ni wao tu wanaweza kugusa. Hivyo kwa Mroli mkubwa kama huo, ni wao tu wanaweza kuhangaika nalo. Hata ndege huwa hawaruhusu uweke vipande vyako ulivyotengeneza mwenyewe hasa kwa zile party za nje ya ndege.

Sasa ukisema ulikatekate hilo na kuja kuliunga si kasheshe?

caterpillar797_giant_truck.jpg
795-Assembly-Collage-2012-sm.jpg
Mkuu imaginations za wabongo zinashindwa ku-click kwa vile hawawahi kuona wala kusikia ubebaji wa mizigo mizito sana duniani.
Siri ipo katika number of axles (na hayo matairi).
Balance ya mzigo huwa unakuwa computer controlled!
 
Hesabu wingi wa axles za trailer na hivyo basi mzigo ukawa mwepesi!
 
Mzizi mkavu, hilo lori lililobebwa kwa nini lisitembee lenyewe tu kwani naona lina tairi za mpira. Ninavyoelewa ni tingatinga la magurudumu ya chuma ndili haliruhusiwi kutembea juu ya lami kama Mzee wetu mmoja alivyotusimulia hapo zamani. Hivi, hilo lililobebwa ni kama hili hapa chini?

Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe coz naona kama kulikua hamna sababu ya hilo caterpiller kubebwa kwasababu lina magurudumu ya kawaida, lingebebwa kama lingekuwa na matairi ya kifaru kwamba litaharibu hiyo barabara ya lami!

Umeona upana wa hilo caterpillar lakini? barabara yenyewe inaonekana ni nyembamba.
 
Liliobebwa kwa upana ni three times upana wa lililobeba ukiangalia barabara zetu ni za two vehicles . katika hali ya kawaida hii load haiwezi pita barabara yoyote kwa hiyo huu ni uongo wa PHOTO SHOP

Photo shop hii
 
Back
Top Bottom