Lori lagongana na Coaster uso kwa uso, watu tisa wafariki dunia

Barabara ya bagamoyo ni nzuri sana na pana. Ilishatengenezwa past 5 years wa wapi bado ni nyembamba mkuu,barabara ambazo gari moja inaenda na moja inarudi ni chanzo kikubwa cha ajali,ifike kipindi tuwe na barabara ambazo ni one way
 
No mkuu hii barabara sio bora, imejengwa chini ya kiwango kama kawaida, nimeitumia few days ago, kipande cha korogwe hadi mombo, kidogo kipo safi
Wewe unachanganya, unaelewa hata bagamoyo road inaanzia wapi na kuishia wapi kweli..?
Humu tatizo mnakuwaga wajuaji sana, ulikuwa unaelekezwa ukawa unaleta ubishi na akili zako za form 4 D. Muwe wasikivu, theres a lot that you dont know and people wants to help you to know.
 
Daaah inauma sana mtu anapoteza maisha angali ana umri wa kukamilisha hapa duniani. Hii ni kazi ya shetani. Mungu akiweka ahadi yake huwa anaitimiza. Tunaishi miaka 70 kinyume na hapo ni ubatili.

Poleni kwa familia zote waliopoteza ndugu na jamaa kwenye ajali hiii.

Mafisadi dhambi hii mtaibeba maisha yenu yote. Mnapokwapua fedha za umma tunakosa hela za kufanya miradi ya barabara za njia 4 nchi nzima. Ajali hii ingeepukika endapo tungelikuwa wote wasafi, wakweli na wenye hofu ya Mungu
Extremist kwenye ubora wenu.
 
Wewe unachanganya, unaelewa hata bagamoyo road inaanzia wapi na kuishia wapi kweli..?
Humu tatizo mnakuwaga wajuaji sana, ulikuwa unaelekezwa ukawa unaleta ubishi na akili zako za form 4 D. Muwe wasikivu, theres a lot that you dont know and people wants to help you to know.
Mkuu kabla sija comments humu huwa najua, hii barabara ya Bwagamoyo imejengwa chini ya kiwango, na najua wapi hii ajali imetokea, nimetoa mfano wa kipande cha Korogwe to Mombo kwa barabara ambayo kiwango chake ni bora, sawa ningetoa mfano wa Iyovi pass, kile kipande kipo bora, next time soma ili uelewe sio kuuliza maswali, pumbavu
 
Korogwe mpaka mombo ni bagamoyo road 😡😡😡😡
Soma tena comment yangu uielewe, acha upumbavu, kipande cha korogwe to mombo ni mfano wa barabara bora, hii ya Bagamoyo ni mbovu, kipande cha makambako to chimala(T1),kipo bora kasoro ni uchafu wa matuta, next time soma ili uelewe
 
Mkuu kabla sija comments humu huwa najua, hii barabara ya Bwagamoyo imejengwa chini ya kiwango, na najua wapi hii ajali imetokea, nimetoa mfano wa kipande cha Korogwe to Mombo kwa barabara ambayo kiwango chake ni bora, sawa ningetoa mfano wa Iyovi pass, kile kipande kipo bora, next time soma ili uelewe sio kuuliza maswali, pumbavu
Wewe ndo msenge, huwezi ukafananisha kipande cha Mombo -Korogwe na bagamoyo road, ni vitu viwili tofauti. Tatizo mnapenda sana ujuaji, mtakuja kuwa mashoga kisa kuonekana mnajua kila kitu. Na hio barabara haijajengwa chini ya kiwango, matumizi yake yamekuwa makubwa kuliko estimation zilizofanywa kipindi inajengwa. Haujui vingi na ni bora ukubali ujifunze kuliko kuleta ujuaji.
 
Daaah inauma sana mtu anapoteza maisha angali ana umri wa kukamilisha hapa duniani. Hii ni kazi ya shetani. Mungu akiweka ahadi yake huwa anaitimiza. Tunaishi miaka 70 kinyume na hapo ni ubatili.

Poleni kwa familia zote waliopoteza ndugu na jamaa kwenye ajali hiii.

Mafisadi dhambi hii mtaibeba maisha yenu yote. Mnapokwapua fedha za umma tunakosa hela za kufanya miradi ya barabara za njia 4 nchi nzima. Ajali hii ingeepukika endapo tungelikuwa wote wasafi, wakweli na wenye hofu ya Mungu
wacha Ccm Iendelee kutuongoza kwa akili kama hizi.
Yaani shetani ndio alikuwa anaendesha hilo lori na daladala.
Ninaunga mkono CCM iendelee kuiba kutuongoza mgao wa umeme urudi maradufu, sukari ipatikane mara mbili kwa mwaka, mafuta ya kula yatolewe kwenye jengo la CCM Lumumba
 
Mitano tena🤣🤣
 
Back
Top Bottom