Lori lagongana na Coaster uso kwa uso, watu tisa wafariki dunia

Lori lagongana na Coaster uso kwa uso, watu tisa wafariki dunia

Soma tena comment yangu uielewe, acha upumbavu, kipande cha korogwe to mombo ni mfano wa barabara bora, hii ya Bagamoyo ni mbovu, kipande cha makambako to chimala(T1),kipo bora kasoro ni uchafu wa matuta, next time soma ili uelewe
Sio nisome ili nielewa. Kwanza umeedit post, na kuongeza maneno kidogo iko safi .
Mbili huwezi fananisha hivi vipande.
Tatu. Bagamoyo road ni nzuri you take it or not.tunaitumia kila siku hiyo barabara.
 
shuhuda
I was there , Coaster imebakiza majeruhi wawili tu, ambao pamoja na marehemu wamefikishwa hospitali ya wilaya...Lori pia hakuna alietoka...Inatisha sana iyo ajali, miili mingine imefanywa kuokotwa vipande vipande yaani inatisha kuangalia...Eeeh Allah 🤲
Watu wa pwani mnafuga majini sana
 
No mkuu hii barabara sio bora, imejengwa chini ya kiwango kama kawaida, nimeitumia few days ago, kipande cha Korogwe hadi Mombo, kidogo kipo safi.
Bagamoyo-Msata umetumia kigezo gani kusema imejengwa chini ya kiwango au macho yako?
Barabara hii sehemu mbovu ni zenye matuta tu ambazo zinaharibika kwasababu ya malori kukandamiza wakati wa kusimama na kuondoka. Ndio maana wengi tunalaani matuta.
Ukiachana na sehemu hizo za matuta sehemu nyingi barabara iko sawa ikiwa na alama za kutosha. Nikitoka mikoani nikifika msata tu roho yangu inatulia najihisi niko nyumbani. Maanake barabaraba pana na visibility nzuri haina vichaka.
As for Korogowe-Mombo-Same it's amazing.
 
Duh poleni sana wafiwa. Last week tu nilikuwa Bagamoyo kìromo
 
Back
Top Bottom