Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Vaseline for men.ukipata ya kopo ndo mazuri zaidi kuliko bottled.Nimekuwa mtumiaji wa mafuta ya mgando tangu nazaliwa especially babycare,family,mamis,Vaseline,na samona.Ila siku za karibuni ngozi yangu imekuwa haieleweki nimeshauriwa niachane na mafuta ya mgando nitumie japo lotion afu ngozi yangu ina tabia ua kukauka .
Naombeni ushauri wadau lotion gani inanifaa
Nimekuwa mtumiaji wa mafuta ya mgando tangu nazaliwa especially babycare,family,mamis,Vaseline,na samona.Ila siku za karibuni ngozi yangu imekuwa haieleweki nimeshauriwa niachane na mafuta ya mgando nitumie japo lotion afu ngozi yangu ina tabia ua kukauka .

Tumia mafuta ya nazi tu achana na lotion. Mimi natumia nazi na fresh tu
Jamaa mbishiWatalaam wa beshen wanasema mafuta ya Nazi ni mazuri kwa beshen tu.
Kuna hizi hapa Body lotion moja imetengenezwa kwa kutumia maziwa na mbegu za maboga na nyingine imetengenezwa kwa maziwa pia na mafuta ya sesame