miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
vasaline lotion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hujaishi sehemu zenye baridi ndio maana unatusi watuBrother usipate shida happy skin ndo ninayoyatumia mimi, hayatoi jasho hata kidogo.
Wewe mwanaume unaejipaka mafuta ya mgando mpaka leo ni mshamba, kama sio ushamba basi ni umasikini unakusumbua acheni mawazo finyu
Sio kweli,mafuta yanayotengezwa hayana taarifa muhimu kumsaidia mtaalamu kujua yapi ni sahihi na yapi si sawa.Mf. so rahisi kupata lotion kwa akili ya mtu mwenye oily skin,kwa sababu hawaandiki kiwango cha mafuta yaliyo mwenye hizi lotions.Na pia hawaandiki kiwango cha vilainishi vilivyomo.
Labda iringa ninayoishi mimi haina baridi..,Nadhani hujaishi sehemu zenye baridi ndio maana unatusi watu
[emoji15] [emoji15]Tumia asante Zanzibar
sasa baridi hili upake lotion wapi na wapi... baridi linahitaji mafuta ya mgandoLabda iringa ninayoishi mimi haina baridi..,