Lotion gani inamfaa kijana wa kiume mwenye rangi nyeupe au maji ya kunde?

Lotion gani inamfaa kijana wa kiume mwenye rangi nyeupe au maji ya kunde?

Nivea for men.. Mm natumia hyo na nazan ni nzur
 
Alaf nataka kuanza kupaka makeup, anaefaham izi mambo vizur kwa wanaume please naomb uniPM kuna vitu nahitaj kuvifaam..
 
d125589fcf4446ff7bfa460ecfb35bf7.jpg
Aise mimi nina ngozi kavu, hivyo nimetumia nivea lakini wapi, vaseline for men wapi.. Kidogo mgando ndio huwa zinanipa ahueni kidogo,

Lakini malotion hapana kwa kweli
 
Aise mimi nina ngozi kavu, hivyo nimetumia nivea lakini wapi, vaseline for men wapi.. Kidogo mgando ndio huwa zinanipa ahueni kidogo,

Lakini malotion hapana kwa kweli
Kuna wakati unachukua lotion bila kujua aina ya ngozi yako ( kama ni ya mafuta au kavu) ni tatizo pia na kupoteza pesa....
Kwa hiyo ukijua tatizo itakufanya usiilaumu na kuikosoa lotion tuu.
 
Brother usipate shida happy skin ndo ninayoyatumia mimi, hayatoi jasho hata kidogo.

Wewe mwanaume unaejipaka mafuta ya mgando mpaka leo ni mshamba, kama sio ushamba basi ni umasikini unakusumbua acheni mawazo finyu
Ushamba kivipi?Je unajua hata lotion za kiume wanaweka vilainishi vikali kiasi kwamba inapelekea ngozi inakuwa lakini mnoo hadi unajiogopa?Mimi natumia mafuta ya mgando 20g hadi miezi 6.Na ninakunywa wastani wa bia 3 kila siku yaani zaidi ya bia 1000 kwa mwaka.Wastani wa machungwa mawili kila siku.Hata hivyo ngozi yangu bado ni soft tu.Sijawahi kufanya scrub na sifikirii hata kidogo kutumia lotion tena kwa ni niliwahi kutumia Nivea for men,ikawa kama natumia mkorogo!
 
Kwa sababu ya kupauka, anzia kwenye famasia wengi wanakuwaga na mafuta mazuri kwa ngozi tofautim mfamasia atakushauri
Sio kweli,mafuta yanayotengezwa hayana taarifa muhimu kumsaidia mtaalamu kujua yapi ni sahihi na yapi si sawa.Mf. so rahisi kupata lotion kwa akili ya mtu mwenye oily skin,kwa sababu hawaandiki kiwango cha mafuta yaliyo mwenye hizi lotions.Na pia hawaandiki kiwango cha vilainishi vilivyomo.
 
Brother usipate shida happy skin ndo ninayoyatumia mimi, hayatoi jasho hata kidogo.

Wewe mwanaume unaejipaka mafuta ya mgando mpaka leo ni mshamba, kama sio ushamba basi ni umasikini unakusumbua acheni mawazo finyu
Kuwa mwangalifu na lugha yako.
Unaonyesha dharau kubwa kwenye asset ya mkulima.
Unaonekana wewe ni mpiga dili.
 
Nimegundua vijana wanajipodoa sn baada ya kupitia uzi huu

Watu wanajua aina za lotion sn
 
Back
Top Bottom