simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Vaseline intensive care with pure cocoa butter.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh, huku unakoelekea sio kuzuri Mkuu, samahani lakini.Alaf nataka kuanza kupaka makeup, anaefaham izi mambo vizur kwa wanaume please naomb uniPM kuna vitu nahitaj kuvifaam..
At least Leo umetoa comment inayoeleweka. Vipi jamaa yako Bashite mzima lakini?Kwa sababu ya kupauka, anzia kwenye famasia wengi wanakuwaga na mafuta mazuri kwa ngozi tofautim mfamasia atakushauri
Usikarir mkuu mm napenda tu utanashati na npend kuwa na muonekano mzuri ivo tu yani,Mmmmh, huku unakoelekea sio kuzuri Mkuu, samahani lakini.
Jamaa mbishi
Beshen ni nini
Aise mimi nina ngozi kavu, hivyo nimetumia nivea lakini wapi, vaseline for men wapi.. Kidogo mgando ndio huwa zinanipa ahueni kidogo,
Kuna wakati unachukua lotion bila kujua aina ya ngozi yako ( kama ni ya mafuta au kavu) ni tatizo pia na kupoteza pesa....Aise mimi nina ngozi kavu, hivyo nimetumia nivea lakini wapi, vaseline for men wapi.. Kidogo mgando ndio huwa zinanipa ahueni kidogo,
Lakini malotion hapana kwa kweli
Mungu anakuonaClere ni nzuri
Ushamba kivipi?Je unajua hata lotion za kiume wanaweka vilainishi vikali kiasi kwamba inapelekea ngozi inakuwa lakini mnoo hadi unajiogopa?Mimi natumia mafuta ya mgando 20g hadi miezi 6.Na ninakunywa wastani wa bia 3 kila siku yaani zaidi ya bia 1000 kwa mwaka.Wastani wa machungwa mawili kila siku.Hata hivyo ngozi yangu bado ni soft tu.Sijawahi kufanya scrub na sifikirii hata kidogo kutumia lotion tena kwa ni niliwahi kutumia Nivea for men,ikawa kama natumia mkorogo!Brother usipate shida happy skin ndo ninayoyatumia mimi, hayatoi jasho hata kidogo.
Wewe mwanaume unaejipaka mafuta ya mgando mpaka leo ni mshamba, kama sio ushamba basi ni umasikini unakusumbua acheni mawazo finyu
Sio kweli,mafuta yanayotengezwa hayana taarifa muhimu kumsaidia mtaalamu kujua yapi ni sahihi na yapi si sawa.Mf. so rahisi kupata lotion kwa akili ya mtu mwenye oily skin,kwa sababu hawaandiki kiwango cha mafuta yaliyo mwenye hizi lotions.Na pia hawaandiki kiwango cha vilainishi vilivyomo.Kwa sababu ya kupauka, anzia kwenye famasia wengi wanakuwaga na mafuta mazuri kwa ngozi tofautim mfamasia atakushauri
Wnaosoma Heading pekee... WAPO!Tumia baby care
Kuwa mwangalifu na lugha yako.Brother usipate shida happy skin ndo ninayoyatumia mimi, hayatoi jasho hata kidogo.
Wewe mwanaume unaejipaka mafuta ya mgando mpaka leo ni mshamba, kama sio ushamba basi ni umasikini unakusumbua acheni mawazo finyu