Lotion gani inamfaa kijana wa kiume mwenye rangi nyeupe au maji ya kunde?

Lotion gani inamfaa kijana wa kiume mwenye rangi nyeupe au maji ya kunde?

Kuwa mwangalifu na lugha yako.
Unaonyesha dharau kubwa kwenye asset ya mkulima.
Unaonekana wewe ni mpiga dili.
Dili ndo habari ya mjini, mtu kauliza kistaarabu nyinyi wewe unaleta fikra zako potofu...,
 
Brother usipate shida happy skin ndo ninayoyatumia mimi, hayatoi jasho hata kidogo.

Wewe mwanaume unaejipaka mafuta ya mgando mpaka leo ni mshamba, kama sio ushamba basi ni umasikini unakusumbua acheni mawazo finyu
Happy skin bei gan
 
Usikarir mkuu mm napenda tu utanashati na npend kuwa na muonekano mzuri ivo tu yani,
Kwahiyo unapenda kuwa na ngozi laini, inayong'aa na kuvutia???

Ukitaka wa kukupaka, nipo napatikana kwa no hii 01200.

Napaka kokote utakapo.
 
Nimekuwa mtumiaji wa mafuta ya mgando tangu nazaliwa especially babycare,family,mamis,Vaseline,na samona.Ila siku za karibuni ngozi yangu imekuwa haieleweki nimeshauriwa niachane na mafuta ya mgando nitumie japo lotion afu ngozi yangu ina tabia ua kukauka .

Naombeni ushauri wadau lotion gani inanifaa
carolite mkuu
 
Brother usipate shida happy skin ndo ninayoyatumia mimi, hayatoi jasho hata kidogo.

Wewe mwanaume unaejipaka mafuta ya mgando mpaka leo ni mshamba, kama sio ushamba basi ni umasikini unakusumbua acheni mawazo finyu
Nyie ndio mnapitiwa na popobawa daily
 
Sikia mwili ubadilika kulingana na nyakati mfano kipindi hiki ni kizuri sana ukitumia cream zilizopoa but wakati wa joto pia vizuri ukitumia lotion lakini utumiaji wa cream na lotion unaambatana na uogaji wa mara kwa mara hii itafanya ngozi yako iwe nadhifu sana na yenye afya endapo utazingatia kula vizuri na kunywa maji mengi
 
Back
Top Bottom