Lotion gani inamfaa kijana wa kiume mwenye rangi nyeupe au maji ya kunde?

Brother usipate shida happy skin ndo ninayoyatumia mimi, hayatoi jasho hata kidogo.

Wewe mwanaume unaejipaka mafuta ya mgando mpaka leo ni mshamba, kama sio ushamba basi ni umasikini unakusumbua acheni mawazo finyu
Nadhani hujaishi sehemu zenye baridi ndio maana unatusi watu
 

Duh!!!!!

Mmmmmmmh duh
 
Inaonyesha ngozi yako ni dry skin hivyo nenda kunako duka za urembo ulizia lotion special for dry skin
 
Yaani nyie masharobaro wa bongo movie mnapenda kuangalia sura zenu!!! au sababu mmeambiwa kioo hakidanganyi?? mbona hamlizii makalio yenu yakae vip uonekane kama mwanaume kweli???
 
acheni hizo chemical jamani zitakuja kuwaathiri baadae.bibi zenu walikuwa hawatumii hizo lotion lakini ngozi zao zilikuwa bomba kitu nyororo kina ng'aa.
kula vizuri,kula matunda,kunywa maji fanya mazoezi ulete mrejesho hapa..acheni hizo sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…