Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

Bado hadi karne watu mnachana nywele nyoa mkuu
 

Mkuu yanaitwaje na yanapatika wapi?
 
clair men ipo vizuri ila nakushauri usiweke greesalin nyingi kwani yaweza kukuchubua ngozi watu wakabaki wanakushangaa baada ya kubadilika sura ghafla.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko sahihi kabisaa.
 
Nimekuwa nikipaka mafuta ya zeituni,kuna mtu alinitia ujinga kwamba nivea yanachubua
Aina ya ngozi yake maana zipo nivea zaid 10 nahis
So kama alichagua ambayo inamkataa sio lazma na wewe itakukataa
 
Aina ya ngozi yake maana zipo nivea zaid 10 nahis
So kama alichagua ambayo inamkataa sio lazma na wewe itakukataa
Nimeachana na mambo ya mafuta,sipaki mafuta na wala situmii sabuni.

Nadhani haya maproduct ndo yanaharibu ngozi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…