Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

Natumiaga perfume zile za kiume ambazo hazinukiagi sana😅😅😅, zile za kukata harufu ya jasho tuu isiwe intensive, kidogo tuu ata angalau ukipita karibu na mtu asianze kusema wakaka wa sikuiz wananuka jasho, maana mm natembeaga kama nakimbizwa kwaio nikifika sehemu lazima vijasho vinitoke, alaf hata mwenyew nashaangaaga kwann natembea fasta kama nakimbizwa😅😅😅 kimsingi nikitoka kuoga ni kujikausha then mafuta ya Nazi then kuchana nywele alaf kishada, haina mambo mengi broo😊
Bado hadi karne watu mnachana nywele nyoa mkuu
 
Kwa wale mnaopenda vitu vya asili vyenye zero kemikali tafuta mafuta yanayotokana na mbegu za maboga. Iwe imetengenezwa kikwetukwetu bila kuongezwa kitu. Utang'aa km vile una pesa kweli na unaishi chin ya uangaliz maalum wa Dermatologist mkuu. Hutaamin!

Mkuu yanaitwaje na yanapatika wapi?
 
clair men ipo vizuri ila nakushauri usiweke greesalin nyingi kwani yaweza kukuchubua ngozi watu wakabaki wanakushangaa baada ya kubadilika sura ghafla.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko sahihi kabisaa.
 
Nimekuwa nikipaka mafuta ya zeituni,kuna mtu alinitia ujinga kwamba nivea yanachubua
Aina ya ngozi yake maana zipo nivea zaid 10 nahis
So kama alichagua ambayo inamkataa sio lazma na wewe itakukataa
 
Aina ya ngozi yake maana zipo nivea zaid 10 nahis
So kama alichagua ambayo inamkataa sio lazma na wewe itakukataa
Nimeachana na mambo ya mafuta,sipaki mafuta na wala situmii sabuni.

Nadhani haya maproduct ndo yanaharibu ngozi zetu.
 
Back
Top Bottom