Love at first sight

Hahaha
 
Ndoa tayari
Member mmoja humu aliniambia anahisi nilipotea kidogo wakati fulani sababu ya harusi...na ilikuwa kweli
Akaja akahisi tena nina mimba,hapa alikosea 🀣
Hongereni kwa mara nyingine kwa kutimiza love goals, ni wachache hufikia mafanikio hayo kwa upendo.

Mungu awabariki mpate na matunda ya upendo wenu.
 
Sijawahi kuwa mdau ya ngono lakini tangu nikutane naye nataka kila muda tuwe peke yetu chumbani
Na hii ndio point niliyokua naitafuta mwalimu wako mimi hapa wa Mwandiko ili nikupe marks ya hii imla uliyoandika leo, kwa hio tangu mwaka 2020 amekubandua mara ngapi hapo chumbani kwake wenyewe mnaita ghetto?
 
Hongereni kwa mara nyingine kwa kutimiza love goals, ni wachache hufikia mafanikio hayo kwa upendo.

Mungu awabariki mpate na matunda ya upendo wenu.
Asante mkuu Half american
Upendo uendelee kama hivi na Mungu asaidie niishi nae mara nyingi zaidi manake si unaona saa saba hii napiga mdomo JF badala ya... πŸ˜‚
 
Asante mkuu Half american
Upendo uendelee kama hivi na Mungu asaidie niishi nae mara nyingi zaidi manake si unaona saa saba hii napiga mdomo JF badala ya... πŸ˜‚
Badala ya.....
a. Kulala?
b. Kuumba familia?
c. Kuja dili mstakabali wa kesho bora kuliko leo na jana?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…