afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Dah!!! Afadhali kaja mkombozi wangu Wiselady hapa chini
ngoja nkitoe
kabla na lawyer hajafika lolz...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!!! Afadhali kaja mkombozi wangu Wiselady hapa chini
I come to life with an Open Mind, Clean Hands, and a Loving Heart.ngoja nkitoe
kabla na lawyer hajafika lolz...
I come to life with an Open Mind, Clean Hands, and a Loving Heart.

hahahahahah

nlisha anza kukimbia lolz

Hujambo lakini mama wa Busara??

Mi maswali ya ma Lovii Davee bado

yanikata mtama bana duhhh..
Express your love verbally. The person you love might not know that you have such strong feelings or emotion, you have to tell her how much you feel for her and let your words flow effortlessly
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia threads zenye kuuliza mapenzi ni nini???
Lakini,baada ya hivi karibuni kumpata mwandani wangu,baada ya kusota bila mafanikio humu jf aliniuliza nini maana ya mapenzi au kupenda???
bila kufikiria nilimjibu"its like scoring three points in an unimaginable and unprecedented move in a tighty basketball match", binafsi nilijikuta bila ya kujiandaa nimetoa nini maana ya mapenzi au kitu kupenda kwa mtazamo wangu kama mcheza mpira wa kikapu nikimaanisha MAPENZI NI KAMA KUFUNGA POINTI TATU KATIKA MAZINGIRA YASIYOTARAJIWA NA YASIYOWEZAKANA KUREJEWA KTK MECHI NGUMU NA YENYE UPINZANI,bila shaka mtazamo huu ulitokana na raha ninayoipata kuwa ndani ya mapenzi mazito ambayo huwa ninajisikia nikifunga point tatu katika mazingira hayo.........
Bila shaka kwa mtazamo huo,chinga,footballer,mwanamuziki na yeyote anayefurahia kitu anachokifanya anaweza akawa na mtazamo wake ktk maana ya kupenda au mapenzi,
..........sijui mtazamo wako, karibu tujadili.....
umeona eeh utayaweza hayo?bebii naweza kusema am speechless
no more to say
umeona eeh utayaweza hayo?
I think the best way it's always to give someone a chance, by doing that at least he/she can be able to show it with action apart from wordsPoints taken and understood
But as you know it is hard for some other person to understand mere words they need more action than words
sijambo mpenzi,ww je?kiuhalisia definion za kupenda zitajaa vitabu lkn embu tupe yako kwanza
Hii thread ngumu!!
Hivi mtu ambaye hajawahi ku-experience maumivu, Je tunaweza kusema huyo bado hajayajua mapenzi???Hii thread ngumu!!
Hivi hatuweielezea (define) love/penzi kwa kiswahili?
Mapenzi kuwa ni hisia za kupenda, kuwa na fulani? ah ............mapenzi ni raha, maumivu, furaha, huzuni, uwoga, kujitoa/jitolea, kulinda, tunza na kujali mtu asiye ndugu yako na ambaye hukuwahi kumfikiria kama ungekutana naye na bado ukajisikia uko salama mikononi mwake kiasi cha kuukabidhi moyo na mwili wako kwake.
Ugumu wake ni upi?
Hata hicho ni kimomboNatamani sana kuchangia hili sredi lakini limekaa kimombo mombo wakati mi kiinglish nimeishia fom tuu B shule ya Mtakuja Kata sekandare skuul..... Hatukufikia silabasi ya kuchangia sredi kwa kimombo.
Natamani sana kuchangia hili sredi lakini limekaa kimombo mombo wakati mi kiinglish nimeishia fom tuu B shule ya Mtakuja Kata sekandare skuul..... Hatukufikia silabasi ya kuchangia sredi kwa kimombo.
Sio kuwa bado hujawahiexperience love ila ile cycle ya love bado haijakamilika....................na kumbuka maumivu ni relative term.Hivi mtu ambaye hajawahi ku-experience maumivu, Je tunaweza kusema huyo bado hajayajua mapenzi???
Kwahiyo siku mtu ukiumizwa basi ile cycle ya love inakuwa imekamilika au it's just part and parcel ya experience??Sio kuwa bado hujawahiexperience love ila ile cycle ya love bado haijakamilika....................na kumbuka maumivu ni relative term.