Lovely mum a.k.a jovitha is back

Status
Not open for further replies.
Ntakutafuta kwenye ile namba yako hupatikan jovitha
 
Jamaniii nakujaaaa my dear ila kuna mambo nataka niweke sawa by wiki ijayo ndiyo nitakuwa nashinda hukoo kutwa nzima.....hivi ANGA LA WASHENZI steve ALIKUJA KUMALIZIAAA?
Mpaka tumeisahau haijamaliziwa mpaka leo zipo nyingine nyingi tu nzuri nakuombea umalize salama mambo yako my dear
 
Hahahaaa. Ukashindwa kumgongea like pekee.

Ila Mtani unajuaga kupita kimya kimya bana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, mtaniii, mie msomaji mzuri tu ,na ninachangia kama hivi kdg kdg

Haya niwaache mtani mchat ,nami nibaki nikisoma kwa utulivu na ukimya ,hahahaha
 
Mie Alhamdulillah uzima ninao Dada.

Haya ngoja tushangae shangae yanayoendelea huko majukwaani Dada.
Asante dada akee uwe na mchana mwema tuendelee kushangaa ya jf
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…