Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka tumeisahau haijamaliziwa mpaka leo zipo nyingine nyingi tu nzuri nakuombea umalize salama mambo yako my dearJamaniii nakujaaaa my dear ila kuna mambo nataka niweke sawa by wiki ijayo ndiyo nitakuwa nashinda hukoo kutwa nzima.....hivi ANGA LA WASHENZI steve ALIKUJA KUMALIZIAAA?
Rafiki Nimekumiss hasaaa. Mzima weye?
Hahahaaa. Hatimaye umetia neno Mtani.Hahahaha, Asee Mkuu unataka uwe Famous ?
Hahahaha, mtani bana ,kijana kanifurahishaHahahaaa. Hatimaye umetia neno Mtani.
Hahahaaa. Ukashindwa kumgongea like pekee.Hahahaha, mtani bana ,kijana kanifurahisha
Duuh! Yambidi aanzie alipoishia kwa kweli japo naona kitakuwa kibarua.Hahahaha
Dada akee huyo teja mwenzangu wa mastory sasa namuoneaje huruma mastory yapo mengii sijui atamalizaje
Hahahaa zaidi ya kibarua dada akee mm mzima sana hofu kwako tu jamaniDuuh! Yambidi aanzie alipoishia kwa kweli japo naona kitakuwa kibarua.
Mzima lakini Dada?
Mie Alhamdulillah uzima ninao Dada.Hahahaa zaidi ya kibarua dada akee mm mzima sana hofu kwako tu jamani
Hahahaha, mtaniii, mie msomaji mzuri tu ,na ninachangia kama hivi kdg kdgHahahaaa. Ukashindwa kumgongea like pekee.
Ila Mtani unajuaga kupita kimya kimya bana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Yabidi nikuige bana Mtani.Hahahaha, mtaniii, mie msomaji mzuri tu ,na ninachangia kama hivi kdg kdg
Haya niwaache mtani mchat ,nami nibaki nikisoma kwa utulivu na ukimya ,hahahaha
Asante dada akee uwe na mchana mwema tuendelee kushangaa ya jfMie Alhamdulillah uzima ninao Dada.
Haya ngoja tushangae shangae yanayoendelea huko majukwaani Dada.
Hahahaha, mtani bana acha hizo ,eti inabidi uniige ,unaiga nn sasa mtani toka kwangu ?Hahahaaa. Yabidi nikuige bana Mtani.
Usijali Mtani. Mchana mwema.