Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Straika hatulii timu moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ujue mwenye ujuzi mzuri kitandani kakutana na walimu wazuri wengi.Anaweza kuwa mjuzi mzuri kitandani lakini sekta zingine akafeli mfano usafi,ukarimu,uelewa,kujali n.k ni mtazamo wangu tu lakini
MtangazajiWho is she by the way
Mtangazaji bila cheti. Huyo ni MC labdaMtangazaji
Mtangazaji bila cheti. Huyo ni MC labdaMtangazaji
Straika hatulii timu moja.
Pole mkuu[emoji12] [emoji12]Daaah mkuu umegonga mulemule.
....angejua kabisa ninavyompenda,
Sijawahi kupenda ila yeye ndio wa kwanza na ananizingua...
Si bora angesema mapema ameniacha nimezama...
Kutoka sasa nashindwa...nashindwa
cc Interest [emoji24][emoji24][emoji24]
Le mbururazWho is she by the way
Yalishapita mkuu...amesharudi [emoji4][emoji4][emoji4].Pole mkuu[emoji12] [emoji12]
Hahaaa hongeraYalishapita mkuu...amesharudi [emoji4][emoji4][emoji4].
Asante
hapo ni moo rackaUmemsahau mheshimiwa alieoa juz kati,nae kapitaga[emoji12]
duuuh hicho chama umekitamka vzur!
!
Kweli mkuu... Mheshimiwa nae alipiga aisee. Si huyu wa eisitii
duuuh hicho chama umekitamka vzur
Hahahaaaa! Yaani ule uwazi uliopitiliza maana vingine tunamezeaga hatusemi.Diva ni fyatu inahitajika mwanaume fyatu mwenzie kuishi nae, kuna siku kaandika Instagram kila akienda ukweni anakuta wamepika ugali cabbage wakichange ni maharage na yeye hapendi huo msosi nlishangaa
Kweli ni fyatuDiva ni fyatu inahitajika mwanaume fyatu mwenzie kuishi nae, kuna siku kaandika Instagram kila akienda ukweni anakuta wamepika ugali cabbage wakichange ni maharage na yeye hapendi huo msosi nlishangaa
Ugali kwa Cabbage, hapo hata mimi namsapoti. Hata kama ni ukweniDiva ni fyatu inahitajika mwanaume fyatu mwenzie kuishi nae, kuna siku kaandika Instagram kila akienda ukweni anakuta wamepika ugali cabbage wakichange ni maharage na yeye hapendi huo msosi nlishangaa