Loveness Love Diva... Daaah, kwa ujuzi wote huu kwa nini unaachika?

Daaah mkuu umegonga mulemule.
....angejua kabisa ninavyompenda,
Sijawahi kupenda ila yeye ndio wa kwanza na ananizingua...
Si bora angesema mapema ameniacha nimezama...
Kutoka sasa nashindwa...nashindwa
cc Interest [emoji24][emoji24][emoji24]
Pole mkuu[emoji12] [emoji12]
 
Diva ni fyatu inahitajika mwanaume fyatu mwenzie kuishi nae, kuna siku kaandika Instagram kila akienda ukweni anakuta wamepika ugali cabbage wakichange ni maharage na yeye hapendi huo msosi nlishangaa
 
Hahahaaaa! Yaani ule uwazi uliopitiliza maana vingine tunamezeaga hatusemi.
 
Diva oh yeah yeah relax meeen oh yeah yeah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diva ni fyatu inahitajika mwanaume fyatu mwenzie kuishi nae, kuna siku kaandika Instagram kila akienda ukweni anakuta wamepika ugali cabbage wakichange ni maharage na yeye hapendi huo msosi nlishangaa
Ugali kwa Cabbage, hapo hata mimi namsapoti. Hata kama ni ukweni
 
Back
Top Bottom