Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha


Watibeli tuna Mbinu elfu Moja na kumi na Moja 1011 mpaka Sasa tumetumia Mbinu Kumi na Moja (11) kupata pisikali Bila Kutumia Pesa na hatuji-brand Kwa kupigilia misumari😃😃
 

Uswazi siô Vitu vyangu

Ila kuishi naweza kuishi ila ku-date sidhani Kama nitaweza
 
Yaah ni sahihi sema wakileta Dharau na wewe ndio unaonyesha profile Yako sababu unyonge unakikomo

Dharau haitoki Kwa Yule anayekuonyeshea dharau Bali inatokana na reactions zako baàda ya kuona kitendo alichokifanya kinakuuma.

Mtu akikuonyesha dharau pigo kûbwa kwàke ni kumpuuza tuu.
 
Unapoishi Maisha ya kawaida, ni bora zaidi yaani mtu ajui unacho au hauna
Pia kwa upande wa Mapenzi Dada Zetu wanatazama Zaidi materials, Mi Binafsi natumia Simu ya 250k. Usafiri wangu wa kawaida. Nimeanza kutumia usafiri binafsi 2011.
Nana Faida ya Kuishi Maisha hayo.
Kwani siku nanua kibasikeli changu cha kuendea Kazini kwangu nilikipata kwa bei nafuu na kwa mtu mpenda sifa, ametumia miezi 3 Kauza. Baiskeli.
 
Bro kuna jamii ambayo hata ukijaribu kuishi low profile bado watakunanga tu nakwambiaje mzee inategemeana na mazingira hakika mkoa moja hv unaitwa mkoa wa MARA ukifika kuna jamii ukila nyama nongwa ukila dagaa nongwa ukufungua biashara nongwa ukakaa tu nongwa yaani ilimradi tu kashkash
 
Naona umeamua ku reffer fictional characters kama superman,batman,tom na jery,pazi na jogoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…