Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha

Kuna amani sana ukiishi low profile.
 
Hii nimei save
 
Una madini mkuu ,,Ulichoongea ni kwl sana sana hapo kwenye malezi ya familia yaani wazazi wajitahidi sana kuwafunza watoto kuishi maisha yote hii itawajenga sana katika vipindi na nyakati ngumu
 
Low profile n nzr inakukutanisha na watu wa rika wote na kukusaidia kuoata info nyingi.
 
Uza maembe au madafu
Watu wa Kawaida hawavutiwi na Watu wa Aina hiyo
Watu hawaangalii muonekano wanaangalia mienendo yako ndio maana nikakwambia kuna watu wanajua kunusa true identification ya mtu wewe huwezi kujua ila watakujua kuna vitu vingi vitakavyo kutambulisha kua wewe ni wa high profile hata ukiwa vipi kuna kitu utakua tofauti tu na hapo ndio wananyanyua red flag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…