Elections 2015 Lowassa afunika Dakawa, ni akiwa njiani kwenda Dodoma

Nilikuwa pale aliingia mnadani na idadi kubwa ni wamasai wenzake
 
Mbona wa magufuri pia walikusanywa kwani we hujui......!!!!
 
walizungusha mikono? maana naona salamu ya wazalendo
 
LOWASSA BADO ANA NGUVU KUBWA SANA YA KISIASA TANZANIA kwa wale wanaompuuzia wanajifariji nakumdanganya mtwala ili awape mchuzi wakunywa lakini ukweli ndo huo tena ni mchungu kwa maccm!
 
duh wamejuaje km ni lowasa anaenda dodoma ni zile zile tu move
 
Mbona unalia mkuu?
 
Heshima lowasa alionayo pombe hawezi kuipata popote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…