Urio kimiroI
Senior Member
- Jan 2, 2016
- 146
- 74
Mzee msaniii huyu anataka tusahau jipu la leopad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako inaendelea kupukutika bila kujijua sababu ya kutumikishwa sana hapo lumumbaNaikumbuka sana mwaka Jana baada ya kuzidiwa alianza kupiga vyombo kwenye suruali, Watu waliambulia nzi tu. Huyu mzee kashampola mbowe Chama
Hebu lete konekshen au ndo akili za kushikiwaMzee msaniii huyu anataka tusahau jipu la leopad
Akili yako inaendelea kupukutika bila kujijua sababu ya kutumikishwa sana hapo lumumba
Mimi natoka Iringa lakini kinachonisikitisha ni kuona comment zenye mwelekeo wa kikabila zikishika kasi.Sijui nchi hii miaka ijayo itakuwaje.Uchaguzi uliopita niliwasikia watu fulani mahala fulani kuwa wangempigia kura za urais mgombea fulani kwa kuwa ni anatoka kabila lao.Hapo mahala hadi leo huwa sipiti tena kupata yale maji yetu ya Ilala.Nikikumbuka hoja ile huwa narukwa akili.Ila tu huwa sifikirii kujinyonga.Dakawa wamasai wa kumwaga!
Kuna shughuli kweli lumumbaMbona sioni watu bali kuna Wamasai tu?
HUJUI KAMA LOWASSA ANAPENDWA? BASI UTAKUWA NA TATIZO LA UELEWA HALAFU MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUSEMA LOWASSA HANA LOLOTE HUYO ATAKUWA NA TATIZO LA AKILI TU...LOWASSA NI LOLOTE KWA TANZANIA NA WATU MAMILIONI YANAMUHESHIMU SANAHana LOLOTE La Maana ANALOLIFANYA Na Kawaandaa Hao Watu MAKUSUDI Ili Kulipa KILE Kilichofanywa Na Rais Wa JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI Jana Kule Kwao Arusha Na Monduli Pia. Ana SIASA Za KISHAMBA, KIJINGA, KIPUMBAVU NA KITOTO SANA! Tegemea Kesho Hiyo PICHA Kutokea Front Page TANZANIA DAIMA, NIPASHE, MWANANCHI / CITIZEN Na MTANZANIA Kwani HALIFICHIKI KUWA WAHARIRI WAKUU WA HIVYO VYOMBO Wako Ktk Payroll Ya Lowassa. Wakati AKITAFUTA SIFA ZA KIPOPOMA Huko ANAKOPITA MWANAMUME WA SHOKA LEO ALIKUWEPO KWAKE MONDULI ( TMA ) AKIWATUNUKU WAPIGANAJI WETU WALIOTUKUKA. Lowassa Hata UFANYE NINI UWEZO WAKO KWA MAGUFULI NI MDOGO MNO NA SANA SANA TU NINGEKUSHAURI TULIA FANYA YAKO Siasa Zako Hizi ZITAKUTOKEA PUANI Na UTAZIJUTIA.
wew ni mtu m1,..huna effect,..Hana LOLOTE La Maana ANALOLIFANYA Na Kawaandaa Hao Watu MAKUSUDI Ili Kulipa KILE Kilichofanywa Na Rais Wa JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI Jana Kule Kwao Arusha Na Monduli Pia. Ana SIASA Za KISHAMBA, KIJINGA, KIPUMBAVU NA KITOTO SANA! Tegemea Kesho Hiyo PICHA Kutokea Front Page TANZANIA DAIMA, NIPASHE, MWANANCHI / CITIZEN Na MTANZANIA Kwani HALIFICHIKI KUWA WAHARIRI WAKUU WA HIVYO VYOMBO Wako Ktk Payroll Ya Lowassa. Wakati AKITAFUTA SIFA ZA KIPOPOMA Huko ANAKOPITA MWANAMUME WA SHOKA LEO ALIKUWEPO KWAKE MONDULI ( TMA ) AKIWATUNUKU WAPIGANAJI WETU WALIOTUKUKA. Lowassa Hata UFANYE NINI UWEZO WAKO KWA MAGUFULI NI MDOGO MNO NA SANA SANA TU NINGEKUSHAURI TULIA FANYA YAKO Siasa Zako Hizi ZITAKUTOKEA PUANI Na UTAZIJUTIA.
Hujachelewa unaweza ukamwita kwako akawa rais wa nyumbani kwakoLowasa rais wa moyo wangu, bado nina mahaba na weye.
Nyumbu ni ccm ambao Nchi haina maendeleo lakini wameishi kwa matumaini kuwa ipo siku Mungu atashusha muujiza CCM watazinduka na maendeleo kuja kwa kasi .Kwa sasa anawafuata watu sehemu ambayo wamekusanyika kwa ajili ya shughuri zao za kiuchumi!
Vijana wa kudeki barabara maarufu kama nyumbu wameanza pia kumkimbia!
Ama kweli majanga yakianza kukufika, hata ufanye usanii gani huwezi kuyaepuka.
Kuchunga ng'ombe kumemshinda, kwa sasa hata kuwakusanya nyumbu kunaelekea kumshinda!
He's Mrema in the making!
Ukisikia anakuja mgeni,oga,fanya usafi wa nguo na mwiliHana LOLOTE La Maana ANALOLIFANYA Na Kawaandaa Hao Watu MAKUSUDI Ili Kulipa KILE Kilichofanywa Na Rais Wa JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI Jana Kule Kwao Arusha Na Monduli Pia. Ana SIASA Za KISHAMBA, KIJINGA, KIPUMBAVU NA KITOTO SANA! Tegemea Kesho Hiyo PICHA Kutokea Front Page TANZANIA DAIMA, NIPASHE, MWANANCHI / CITIZEN Na MTANZANIA Kwani HALIFICHIKI KUWA WAHARIRI WAKUU WA HIVYO VYOMBO Wako Ktk Payroll Ya Lowassa. Wakati AKITAFUTA SIFA ZA KIPOPOMA Huko ANAKOPITA MWANAMUME WA SHOKA LEO ALIKUWEPO KWAKE MONDULI ( TMA ) AKIWATUNUKU WAPIGANAJI WETU WALIOTUKUKA. Lowassa Hata UFANYE NINI UWEZO WAKO KWA MAGUFULI NI MDOGO MNO NA SANA SANA TU NINGEKUSHAURI TULIA FANYA YAKO Siasa Zako Hizi ZITAKUTOKEA PUANI Na UTAZIJUTIA.
Picha tafadhaliNaikumbuka sana mwaka Jana baada ya kuzidiwa alianza kupiga vyombo kwenye suruali, Watu waliambulia nzi tu. Huyu mzee kashampola mbowe Chama
Kweli kabisa mkuu ma ccm ni sawa na walevi wa gongo wanakunywa kumeza lazima wafumbe macho,ni sawa na ccm wanalalamika maisha magumu lkn bado wanaendelea kulibeba hilo lichama laoNyumbu ni ccm ambao Nchi haina maendeleo lakini wameishi kwa matumaini kuwa ipo siku Mungu atashusha muujiza CCM watazinduka na maendeleo kuja kwa kasi .
Dodoma ukawa hawana jimbo, kumbuka hilo!Mbona unaonekana dhairi kakushika pabaya?Hahaha Maana hilo povu umetoa hapo mwanaume hata kufika hajafika,Je akifika Dodoma si utalia wenyeeee
Poleni makaburuDakawa kwa wwale Masai wenzie
Yale yale ya makaburukwisha habari yake,expiring date yake ilishapita hatakaa awe raisi wa nchi hii
Huyu mzee anavyo vituko balaa...ati anashindana na rais magufuli tehteh...jamani mwambieni akafuge ng'ombe wake na wajukuu zake siasa aachane nazo...Jamaa anataka kushindana na Magufuli kumeki headline. ..!