Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Nawe ya kwako inaexpire kila lini?kwisha habari yake,expiring date yake ilishapita hatakaa awe raisi wa nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe ya kwako inaexpire kila lini?kwisha habari yake,expiring date yake ilishapita hatakaa awe raisi wa nchi hii
Ishu ya magufuli kufunika Arusha imemuumiza sana mzeeJamaa anataka kushindana na Magufuli kumeki headline. ..!
Hivi Lowasa anawapa mafunzo gani?View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020
Hahaha nyumbu bwana imekuwa 2020 tena ?!?!View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020
Nenda ukanywe chai nayeLowasa anapendwa sn aisee
Ukiwa na filosofa wenye akili kama yako, ambao mipasho ndoo hudhani ni akili ujue Taifa limefikia kikomo kufikiriKwa sasa anawafuata watu sehemu ambayo wamekusanyika kwa ajili ya shughuri zao za kiuchumi!
Vijana wa kudeki barabara maarufu kama nyumbu wameanza pia kumkimbia!
Ama kweli majanga yakianza kukufika, hata ufanye usanii gani huwezi kuyaepuka.
Kuchunga ng'ombe kumemshinda, kwa sasa hata kuwakusanya nyumbu kunaelekea kumshinda!
He's Mrema in the making!
habari yake ina impact gani kwa nchi. hao wamasai wenzake hata akiamua akale nao chumba kimoja mwaka mzima sawa tu. haina relation na maendeleo ya wananchi na taifa. angepiga kimya kimya tu.View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020
ahame chama alichokigharamia , ?? ungekuwa wewe ungehama? ? baada ya ku finance chama kiasi kilelowassa gembe weng walijua atahama chama
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Lowassa bado anapendwa sana na watanzania wengi. Hekima, Busara, Maarifa na Uvumilivu ndio silaha yake kubwa ya mafanikio.
Hakuna namna unaweza ukazuia nyota yake ya kisiasa ising'ae, yupo bado mioyoni mwa Watanzania wengi.
Our next president ya lini? IKULU NI MAHALI PATAKATIFU.View attachment 318776