ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Hoja tafadhaliHivi lowasa ni mashoto ule mkono wa kulia mbona huwa hautumiiu sana kuzungusha anazungusha mkono kushoto akipungia akisema si mapenzi ni mahaba ni kushoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja tafadhaliHivi lowasa ni mashoto ule mkono wa kulia mbona huwa hautumiiu sana kuzungusha anazungusha mkono kushoto akipungia akisema si mapenzi ni mahaba ni kushoto
Hiki ulichokiandika hapa ni nini?Nyumbu ni ccm ambao Nchi haina maendeleo lakini wameishi kwa matumaini kuwa ipo siku Mungu atashusha muujiza CCM watazinduka na maendeleo kuja kwa kasi .
aisee bado anapendwa hivi
Kule Rais wetu alikokuwa ni kwa watu gani vile?Kumbe walikuwa wamasai wenzie wanaosumbua wakulima, huyu jamaa anapenda sifa sana ila zama zake zimeisha
Badala ya kufunika nchi kaamua kwenda kufunika Dakawa?Hajui kuna mtu kwa sasa anafunika Afrika lakini wala hana makeke?View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020
View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020
Acha siasa za chuki.
Hazitakufikisha pazuri.
Wengi tunamkubali Magufuli kwa kutimiza wajibu wake kama Rais wa nchi.
Pamoja na hiyo lakini uwepo wa Rais kwenye nchi ya kidemokrasia hakuzuii shighuli nyingine za kisiasa.
Lowasa ana watu mil 10+ waliompa kura kwa sio ajabu watu wake wakimshangilia mtu wanayempenda.
Au unakumbuka bado siasa za chuki na maandamano zilizopitwa na wakati.
Wewe ndiye mwenye siasa z kishamba na chuki.
Nchi yetu ingekua na watu wengi wa aina yako(mwenyezi Mungu atuepushie kizazi cha chuki kama chako) hili taifa leo lingekua linawaka moto mana tumeona hao wenye siasa unazoona ni za kijanja wanayoyafanya kule Zanzibar lakini huyaoni ila ya Lowasa yasiyo na madhara yoyote kwenye jamii unayatolea mimacho ya roho mbaya na chuki.
Watu kama nyie ni hatari sana uchaguzi umeisha na rais ni Magufuli sasa vita ya husuda ya nini. Hamuishiwi maneno mara Ooh kaskazini,mara wachaga ,mara wamasai,nini!! Acheni hizo. Wenzetu hawana hayo mambo.
Mbona watu wa Arusha wamempokea kwa wema na amani bila chuki mh. Magufuli?
Mbona hata wanamuziki na wachezaji wanapokelewaga kwa shangwe na furaha kule air port au u nafikiri watu wote wanapenda ushabiki.
Hiyo ndio raha ya siasa za kistarabu sio kukimbiza na kurushiana lugha za kejeli na matusi tu kila siku.
Watu wameamua kumsalimia mtu wao waliyemchagua na wanampenda kama wanasiasa wengine wenye majina. Kumbuka kuwa tungekua na katiba kama ya Zanzibar leo hii Lowasa angekua Makamu wa Rais.
Naishauri serikali ya Magufuli iachane na wanaojipendekeza kwa kujenga chuki za kisiasa na hasa wale wanaotaka kumdanganya kuwa upinzani ni uadui. Hawa ni majipu yanayotaka kumtoa kwenye kazi ya kutumbua majipu ili aelekeze nguvu zake kupambana na wanasiasa badala ya watu wanaihujumu nchi.
Majipu yana mbinu nyingi. Hata serikali zilizopita walikua wanatumia mbinu hizi hizi kumshauri rais vibaya huku wakimsifia kuwa mambo yako vizuru kumbe wanajiwekea mazingira mazuri ya wizi na kutumia muda mwingi kuponda kila hoja ya upinzani.
usisahau kuwa lowassa ni kiongozi wa kimila kwenye kabila la wamasai. ndo maana hapo kwenye picha huoni watu wengine zaidi yao. ninachokijua dakawa kuna makabila mengi likiwemo kabile enyeji ambalo sio wamasai. lakini siwaoni hapo kwenye picha.Kwani wamasai hawatakiwi kuwa DAKAWA...Hivi mashabiki wa CCM mtaacha lini fikra za Kibaguzi?? unataka kuwaamisha watu kuwa Lowasa alichaguliwa/anapendwa na wamasai tu?
Acha ubwege wewe!Lowasa rais wa moyo wangu, bado nina mahaba na weye.
Anapendwa na kanda na kabila lake tu!Hivi lowasa ni mashoto ule mkono wa kulia mbona huwa hautumiiu sana kuzungusha anazungusha mkono kushoto akipungia akisema si mapenzi ni mahaba ni kushoto
Swali gumu sana hili au ni la kimtego sidhani kama atakupa jibu sahihiZinamalizwa na nini? na kwa vipi?
Ndivyo mwanaume anavyopaswa kuwaLowassa Ana roho ya paka
Hahaha hivi Mwawia ni mtu mmoja au group of companies ??Hilo ni gamba linasubiri kuombewa
Wewe jamaa hufaiHahaha hivi Mwawia ni mtu mmoja au group of companies ??
Una moyo wa namna gani ku deal na hawa misukule wa LumumbaWewe jamaa hufai
BORA CCM ITAWALE MILELE HATA CC CDM ASILIA TUKO RADHI KULIKO FISADI KUPEWA NCHI.Nyumbu ni ccm ambao Nchi haina maendeleo lakini wameishi kwa matumaini kuwa ipo siku Mungu atashusha muujiza CCM watazinduka na maendeleo kuja kwa kasi .