Elections 2015 Lowassa afunika Dakawa, ni akiwa njiani kwenda Dodoma

Elections 2015 Lowassa afunika Dakawa, ni akiwa njiani kwenda Dodoma

View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020
Mbona kwenye majukwaa ya kampeni zake alikuwa anasisitiza watu wajitahidi kuiondoa CCM uchaguzi huu kwani ikishindikana haitawezekana labda baada ya miaka hamsini mingine,akitaka kuwa next pres.agombee baada ya miaka hamsini.
 
Hana LOLOTE La Maana ANALOLIFANYA Na Kawaandaa Hao Watu MAKUSUDI Ili Kulipa KILE Kilichofanywa Na Rais Wa JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI Jana Kule Kwao Arusha Na Monduli Pia. Ana SIASA Za KISHAMBA, KIJINGA, KIPUMBAVU NA KITOTO SANA! Tegemea Kesho Hiyo PICHA Kutokea Front Page TANZANIA DAIMA, NIPASHE, MWANANCHI / CITIZEN Na MTANZANIA Kwani HALIFICHIKI KUWA WAHARIRI WAKUU WA HIVYO VYOMBO Wako Ktk Payroll Ya Lowassa. Wakati AKITAFUTA SIFA ZA KIPOPOMA Huko ANAKOPITA MWANAMUME WA SHOKA LEO ALIKUWEPO KWAKE MONDULI ( TMA ) AKIWATUNUKU WAPIGANAJI WETU WALIOTUKUKA. Lowassa Hata UFANYE NINI UWEZO WAKO KWA MAGUFULI NI MDOGO MNO NA SANA SANA TU NINGEKUSHAURI TULIA FANYA YAKO Siasa Zako Hizi ZITAKUTOKEA PUANI Na UTAZIJUTIA.

Kabisa. Lakini kama mwanaume kweli aende chato
 
View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020
Duuh next presida kwan uchaguzi ni mwezi gani??
 
Kumbe walikuwa wamasai wenzie wanaosumbua wakulima, huyu jamaa anapenda sifa sana ila zama zake zimeisha
 
View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020
baadhi ya watz wananisikitisha sana kwa kutaka el awe rais wa nchi hii. napata shaka kama wanaelewa siasa za nchi ya kwa miaka 10 iliyopita. napata shaka kama kweli wanaielewa ccm.
kwa kifupi sana maana sina muda, uozo unaoibuliwa nchini ulitokana na ccm kutoisimamia serikali yake. ccm hiyo dhaifu ilikuwa imehodhiwa na wanamtandao. wanamtandao walijipanga kwa muda mrefu sana bosi wao awe rais 2015 lakini alipigwa kumbo ndani ya chama chake. akakimbilia cdm, akagombea urais, watz wakamtosa. wakampa jpm urais ambae hakuwahi kuwa mwanamtandao,
sasa jpm anapoufumua MFUMO
wa wanamtandao uliohujumu nchi yetu, bado kuna watz wanawaza bosi wa wanamtandao aje kuwa rais, lohh!! hawa wenzetu kichwani wapo sawasawa kweli? ni kina nani hawa? au ni wale waliokuwa wakipiga pedeli hewani mbele nyuma huku
wakimwimba kuwa yeye ndo mabadiliko? kama ndo hao, watz tusiwaruhusu kutimiza azma yao kwa kura zetu 2020.
watz tuseme hapana kwa wanamtandao daima. wametutesa na kutuibia sana. ni enzi ya kizazi kipya na tumeanza na jpm.
 
To do what in
View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020

To do what in Dodoma? He is no longer an MP and in Chadema he is just a member! He promised to go back to his livestock if he fails to be president. Au ana mifugo huko Dodoma?
 
View attachment 318776
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA,amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020
Tumefarijika sana kumuona rais wetu wa ukweli, mungu ambariki awe na maisha marefu
 
Kwani wamasai hawatakiwi kuwa DAKAWA...Hivi mashabiki wa CCM mtaacha lini fikra za Kibaguzi?? unataka kuwaamisha watu kuwa Lowasa alichaguliwa/anapendwa na wamasai tu?
Mkuu yaani mijitu kama hiyo nafasi yao kwa mungu ni motoni maana ubaguz ubaguzi
 
Mkuu, kumbuka baada ya JPM kumaliza muda wake wa upresident, hoja ya nani apokee kijiti itakuwa: atoke zanzibar, dhehebu gani, umri ..... Huyo jamaa yetu hana nafasi tena. Tusipoteze muda. Atakuwa amekwisha kama Dr. Slaa alivyofanywa. Subiri muda utathibitisha hili. Wasalaam.
Huyo ndiye rais wetu tu
 
Magufuli alikwambia anafanya anayofanya ku make headline au ni mtazamo wako usio kichwa wala miguu? Lowassa ni Mtanzania na mwanasiasa,ambaye obviously anapendwa na baadhi ya Watanzania. Magufuli ni Rais na raia wa Tanzania. Naye pia anapendwa na baadhi ya wananchi. Kipi cha ajabu hapo mpaka kuleta kejeli? Hivi lini utaondoa kisasi moyoni mwako?

Since that moment you have become slow in thinking and quick in writing. Examine yourself and be honest and change please!
Its not good for your physical as well as spiritual health.

Sheer lovely advice!
Huyo idawa ni guberi linaloshinda kona bar usiku na mchana kutafuta mkate wa kila siku
 
Back
Top Bottom