KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
We umelipwa shilingi ngapi kutoa mawazo yako hapa?
Uchungu wa kiume huujui...remember JK is our President..
Pili, hapa Lowassa anataka kujikosha na najua fika kwamba mwaka 1995 JK alimshinda Mkapa, pengine JK alikuwa na mpango wa Mapinduzi 1997 ama kuhama chama... ama hasira na Nyerere. Hivyo taarifa ilipomfikia Mkapa toka kwa Daudi Mwakawago Mungu amrehemu ndio maana kafa maskini kwa uzalendo wake - Mkapa akiwa rais akapuuza. sasa kimbelembele cha Lowassa ni kutaka kumtahadharisha JK wakati huyu ni President, yeye nani?.
Aaaaah samahani nimesahau wewe shabiki sii mchezaji!
Inaonekana uelewa wako wa siasa za ndani ya CCM ni mdogo sana au haupo kabisa.
Lowassa ataitwa akajieleze kwenye kamati ya maadili, hii kamati haina mamlaka ya kufanya uamuzi wa mwisho wa kujivua gamba. Mamlaka hayo ni ya nec na nec wamekubali kuipa CC. Halafu tujiulize kama lile azimio la kujivua gamba lilitaka ushahidi wa kimahakama au lilitaka nini? ukishapata jibu...GO FIGURE!
Why Lowassa anasakamwa?!... hivi unaishi bongo au unafuatilia siasa za bongo au uko NEPTUNE?
Hapo sasa!...ndio maana inakuwa kazi kwako kufikiria machungu yake. na huwezi...Kama yangekuwa na uzazi wala nisingebishana na wewe.
Sio swala la kumkubali JK kuwa ni kiongozi mzuri bali JK ni rais ambaye anatakiwa kuheshimiwa na sii kutishwa na watu ktk mikutano ya chama ili iweje?... hasa na watu hawa
mpira hauko half time! Umemalizika! EL aliipongeza NEC kurudisha hilo swala CC halafu huko watamwita ajieleze, na jambo la pili, mbona Lowasa tu ndiye anajadiliwa sana kwenye hili swala? Akipona itakuwaje? Waliyomhukumu watazungumza nini tena? Tuwe 'neutral.'
unataka kutuaminisha kwa nguvu kwamba sasa hivi hali ya upinzani iko juu kuliko mwaka 1995 mrema na nccr yake walivyokuwa wanaitesa ccm?!!!!!!!mbona upinzani huu ni kama cha mtoto kwa ule wa 1995 ambapo kina Guninita walivuliwa gamba kwa kuwasupport kina kikwete!
Inaonekana ni miaka zaidi ya 15 imepita toka wakati ule. Upinza wakati ule ulikuwa na nguvu lakini ujanja wa CCM ulikuwa mkubwa zaidi kwa kuwa watu wengi walikuwa wamelala. Hata sasa kuna wengi wamelala lakini kuna kuongezeka kwa wazalendo na wanaopienda Tanzania ndani ya CCM na sehemu nyingine. Na ukiangalia demography ya Tanzania imebadilika sana, ujinga unapungua. Siku zile Mrema alisema hawa wezi watu walibisha, wakasema toa ushahidi wakabananga ushahidi wake, lakini sasa watu wanwapa ushahidi wananchi wenye akili na wanaaona.
Naona wameunganisha nguvu kwa 2015, kama Rutto, Musyoka, kibaki na Kenyata kwa ajili 2012.
Njoo nipitie Lumumba na Udoe, uje umeshavuwa kabisa, ntakusindikiza kwa beni.
Kweli kabisa mkuu wangu waliokaa huko Dodoma ni wajinga watupu wamekutana. yaani mtu anazungumzia kuvunja mkataba mbele ya kikako wakati ushahidi unaonyesha jinsi Richmond walivyoingia nchini. Report ya Mwakyembe ilionyesha wazi jinsi Tanesco walivyopinga, jinsi mgawanyo wa Mega watts ulivyochambuliwa na hata kulazimishwa kuweka mkataba..Sisi wananchi tumejadili kwa kirefu sakata hili la Richmond hapa JF na hadi leo ninayo nakala ya mada hii na maelezo ya katibu mkuu ambaye sasa hivi yuko ardhi kama sikosei..Kwa hiyo tunachoambiwa hapa ni kuwa hatufahamu ukweli kuhusu Richmond, yaani Lowassa anatakaa ndani ya Kikao kuwa Richmond si yake lakini hasemi ni ya nani, na anasema rais ndiye aliyemkataza kuvunja mkataba. Na JK anadai kuwa makatobu walimshauri.....bado kuna swali how did we get there, who got us to Richmond na kwanini wahusika hawajaadhibiwa? Kuna uwezekano kweli Rais na Waziri Mkuu wasijui mkataba unaoingiwa na serikali. Fool can't fool me again.
Mkuu, Mh. Lowasa asiwe na uoga watanzania tumemkubari awe Rais wetu 2015, kama atapendekezwa na Chama chake, ila kama anaona kuna mizengwe basi atoke CCM ajiunge na chama chochote na awe mgombea Urais tutampatia kura zetu hata akitaka kuwa mgombea binafsi tutampatia.
Kweli kabisa mkuu wangu waliokaa huko Dodoma ni wajinga watupu wamekutana. yaani mtu anazungumzia kuvunja mkataba mbele ya kikako wakati ushahidi unaonyesha jinsi Richmond walivyoingia nchini. Report ya Mwakyembe ilionyesha wazi jinsi Tanesco walivyopinga, jinsi mgawanyo wa Mega watts ulivyochambuliwa na hata kulazimishwa kuweka mkataba..Sisi wananchi tumejadili kwa kirefu sakata hili la Richmond hapa JF na hadi leo ninayo nakala ya mada hii na maelezo ya katibu mkuu ambaye sasa hivi yuko ardhi kama sikosei..
Kapigwa vita weee lakini maneno yake yanasimama mbele ya haki na hawawezi kutengua kitu.
Unaweza kuta ni za kwao wote,ama mmoja wao,especially JK hadi sasa sana sana inaonekana ndo mwenye zigo la RICHMOND,yote hii kwasababu alishindwa kumlinda swahiba wake ambaye alipokea maagizo yote...Alisahau makubaliano kwamba yeye ndo next president ama alimgeuka.Kwa hiyo tunachoambiwa hapa ni kuwa hatufahamu ukweli kuhusu Richmond, yaani Lowassa anatakaa ndani ya Kikao kuwa Richmond si yake lakini hasemi ni ya nani, na anasema rais ndiye aliyemkataza kuvunja mkataba. Na JK anadai kuwa makatobu walimshauri.....bado kuna swali how did we get there, who got us to Richmond na kwanini wahusika hawajaadhibiwa? Kuna uwezekano kweli Rais na Waziri Mkuu wasijui mkataba unaoingiwa na serikali. Fool can't fool me again.
Inaonekana ni miaka zaidi ya 15 imepita toka wakati ule. Upinza wakati ule ulikuwa na nguvu lakini ujanja wa CCM ulikuwa mkubwa zaidi kwa kuwa watu wengi walikuwa wamelala. Hata sasa kuna wengi wamelala lakini kuna kuongezeka kwa wazalendo na wanaopienda Tanzania ndani ya CCM na sehemu nyingine. Na ukiangalia demography ya Tanzania imebadilika sana, ujinga unapungua. Siku zile Mrema alisema hawa wezi watu walibisha, wakasema toa ushahidi wakabananga ushahidi wake, lakini sasa watu wanwapa ushahidi wananchi wenye akili na wanaaona.
unasema sasa hivi watu wameamka wakati mpaka sasa wapinzani wote kwa ujumla hawajaweza kuvunja rekodi ya kura alizopata mreme na nccr yake,hata nusu ya kura za hawajazifikia kwa taarifa yako,tatizo watu mkija humu jamii forum mkaona sisi wachache wenye access na mtandao huu tunavyoigonga serikali mnaichulia kama sampling nzuri kuonyesha kuimarika kwa upinzani tanzania!!sisi humu ni sehemu ndogo sana hatutoshi hata kwa kumuwezesha mbunge wa jimbo moja kuingia bungeni,hili ndio linalosababisha chadema ambao kiukweli ndio wengi humu kudhani kila wakati baada ya uchaguzi fulani kuisha kuhisi wameibiwa ama kuonewa,kwa kuwa mtu kila akiingia humu kusoma comment anaona nyingi ziko in favor of cdm sasa matokeo huko site yakitoka tofauti hawezi kuelewa ataamini kuibiwa tu!jamani jamii forum haiwakilishi mawazo ya watanzania wote,wengine hata habari hawana kama kuna kitu kama hiki!
Mkuu hapo kwenye bold ni kweli hiyo?unasema sasa hivi watu wameamka wakati mpaka sasa wapinzani wote kwa ujumla hawajaweza kuvunja rekodi ya kura alizopata mreme na nccr yake,hata nusu ya kura za hawajazifikia kwa taarifa yako,tatizo watu mkija humu jamii forum mkaona sisi wachache wenye access na mtandao huu tunavyoigonga serikali mnaichulia kama sampling nzuri kuonyesha kuimarika kwa upinzani tanzania!!sisi humu ni sehemu ndogo sana hatutoshi hata kwa kumuwezesha mbunge wa jimbo moja kuingia bungeni,hili ndio linalosababisha chadema ambao kiukweli ndio wengi humu kudhani kila wakati baada ya uchaguzi fulani kuisha kuhisi wameibiwa ama kuonewa,kwa kuwa mtu kila akiingia humu kusoma comment anaona nyingi ziko in favor of cdm sasa matokeo huko site yakitoka tofauti hawezi kuelewa ataamini kuibiwa tu!jamani jamii forum haiwakilishi mawazo ya watanzania wote,wengine hata habari hawana kama kuna kitu kama hiki!
Mkuu hapo kwenye bold ni kweli hiyo?
kama unaona hakuna ukweli weka data zako na mimi nimwage zangu,so far habari ndio hiyo kamanda!mrema alitisha...
Kwa hiyo tatizo liko wapi? mie nafikiri Lowasa alijiudhulu ikwa kutoa nafasi kwa wahusika wamushurikie kama amefanya makosa. tafsri yangu ndo hiyo. Kinyume chake jamaa yuko sahihi.