Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!


Mkuu, Let the Dead bury the Dead!
 
Kwa maana hiyo bunge liunde kamati ya kumchunguza kikwete na kashfa ya richmond, watanzania tuamke tushushe neti kumekucha tuikomboe nchi yetu tuhakikishe 2015 hawarudi ikulu watatumaliza!
\
Kweli mkuu hakuna msafi ndani ya hiyo system inayojitahidi "kujisafisha" Yes a total overhaul is the answer!!
 
Wamalizie vipi ile ripoti waliokiri wametuficha mengi!? na M'kyembe yuko India anaugulia "polonium"
 
Mmeshaanza kuwa wapole na bado kumbe mnaweza kumtetea kwa point sasa ile jeuri ilikuwa inatoka wapi but the dude is vanishing tafuteni tawi jingine mjishikize mapema. Mchawi akishakamatwa mizuka na misukule yote itatoka hadharani.
 

Mkuu, kama nilivyotarajia kujivua gamba ni usanii tu wa Magamba kuendelea kulindana katika "dili" zao. Tusubiri mengi tutayasikia lakini vitendo ni sifuri.
 
EL ni mwanasiasa aliyekomaa na anayesimamia anachokiamini.
 
Mkuu Mkandara huyu Bwn asituzughe labda awadanganye vilaza wenzake ndani ya CCM, VINGINEVYO HANA NAMANA YA KUKWEPA KASHA VAA MKENGE ATULIE TUU AACHE PAPARA!

Yeye alikuwa waziri mkuu kwa nini akuwataka ushauri hao makatibu wakuu, taarifa zinasema alishinikiza yeye kusiani huo mkataba! Labda alikuwa anamtega Mhs Rais JK maana uwezo wa kushawishi hao makatibu wavunje mkataba alikuwa nao!

Basi kama ni hivyo that's negligence performance of duty, a grave mistake resulting for Tanzania to experience staying in darkness (power cuts) for a long period of time!

Mweshimiwa EL aache usanii atulie Watanzania wamzodoe tuu, bado ana mambo mengi maovu yaliyo jificha tusimwamini huyo!!!!!!!!
 
Hivi kitu gani kinachowaaminisha watu kuwa EL anafaa kuwa president wa nchi hii?Hivi ni kwa nini mnafurahia sana juu ya jambo hili?kweli EL hakuwahi kuwa sehemu ya matatizo mengi ya watanzania?

Na je sasa hivi haendelei kuwa sehemu ya matatizo ya wa TZ.watanzania nawashauri kila mtu kwa nafasi yake tutafakari juu ya mambo haya,tutafakari vizuri urafiki wa hawa EL & JK kwa ku-relate na utawala.
 
Usitake ncheke(FF)!Kama hao ni references zako, basi umepotea kabisa! Hao wana mambo yao binafsi na wala hayausiani na chama kabisa. Ukiongelea mgawanyiko ndani ya CCM halafu ukawataja hao unaonekana kama kituko.

Rejao unapenda vibaya, ni kama unamfumania mgoni wako na mkeo then unamwachia aende bila kibano wakati ushahidi unao, hebu kumbuka ule mkutano wa JK siku za nyuma aliposema "hali si shwari kwani ndani ya vikao vya CCM watu hawaaminiani hata kuacha glasi ya maji wanapoenda chooni"

MWANAO KAMA NI MWIZI MUITE MWIZI NA USUBIRI MATOKEO HALISI YA MWIZI NA SI VINGENEVYO
 
Mkuu Pasco ebu tuvutie huo uzi kwa manufaa ya wasomaji.


Nape ni mtu niliyemwaminia sana CCM kuwa ni asset kubwa yenye very bright futute, alipoanza kupuliza vuvuzela la kujivua gamba, kuna kitu nilimweleza humu humu jf, sasa kimetimia!.

Masikini Nape sio asset tena, ni liability!.
 
Kwa hiyo mwenye Richmond ni JK???

Basi awajibike yeye!!
 
unapoanza kutoka kutoka njee ya mada unajionesha namna ulivyodhaifu
Lowassa ametumia vikao vya juu vya chama kujieleza na sii akina NAPE wanaopayuka kwenye media hata kama si makubaliano yaliyofikiwa na chama.

Yawezekana Lowassa akawa mwizi ILA HAPA KATUMIA VIKAO HALALI
nini kinachomzuia JK kumburuza Lowassa mahakamani kujibu juu ya Richmond kama JK haogopi kivuli chake?????///
 
Kumbe hata wewe Faiza umeanza kuona mambo kwa uwazi au kuna kambi mbili kwenye meli moja?????????
 
Nilishasema hakuna kiongozi mwoga kama jk, he is the most coward person I have ever seen, hana msimamao wowote. Gamba na Napi are his own making lakini leo anashindwa kusimamia alilolianzisha, wala analoliamini. Ni aibu yeye leo kuwatosa napi na chiligati.

I am ashemed of him as my .....
 
Watu wanajua kujikosha kweli yaani maji yako shingoni ndo anajifanya kuzungumza???????
 
kati ya lowasana kikwete hakuna aliye nafuu wote wajinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…