Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

Andanenga in th house.thnx babake.magwanda yatakoma tunakuja taaaratibu kama kunawa vile!
 
Viva Nova umesomeka na asiye elewa basi ni gamba lililovuliwa
 
Bado natamka siipendi CCM lakini napenda sana style ya LOWASA.Huyu tu ndie chaguo bora la Urais kwa nchi hii 2015.NINA SABABU.
 
Msimchanganye Mungu kwenye siasa hizi za uchwara wakati wote mnajua kuwa hawa watu sio wasafi na hawakukutana Barabarani, EL juzi alimwaga Mboga sasa tusubiri JKM naye amwage Ugali
 
Nova nimekusoma Cousin...
Asiyekuelewa huyo atakuwa anatumia kichwa kubebea masikio.
 
Nape kumbe naye ni ICE Cream ikiwa baridi inajifanya jiwe Jua tu kidogo uyeyuka sasa kakumbana na Jiwe la Mwamba. Kingunge naye kwa Umbea eti alimkatisha EL kuacha kutema nyongo yake sasa bado imemniga ataitemea wapi tena? kweli wa kuonewa utamjua tu kwa kupambana kujisafisha, hii inathibitisha kuwa EL hakuhusika maana mkuu hakukanusha, Kidogo tu EL alitaka amtaje ambaye JK hamjui.
 
Lowassa hawezi kututoa Misri na kutufikisha Canaan kwasababu yeye mwenyewe ni mtumwa wa Rostam Aziz; Huyu mamvi akiukwaa urais mjue mtawala atakuwa Rostam na mawziri wake watakuwa wakina Serukamba, Masha , Makongoro Mahanga na masaburi. Hawa ndio wataleta maendeleo kwa nchi kweli?

Naona umeshampangia na Baraza la mawaziri...teh teh sisi wenye utimamu kichwani hatuchagui mawaziri.
Bali Sisi tunamchagua Muheshimwa Lowassa.

Grande Lowassa
 
Jakaya ana cha kupoteza, Urais kabla ya muda wake, manake msambaratiko wa ccm ni uchaguzi mwingine haraka. What about Jela kwa saga la richmond kwa rais ajaye unaliona?? things might get tough more than you think.

MaRais wastafu wa JMT wana imune, labda mtoe hilo kwenye katiba baba
 
View attachment 42138

Kalamu yangu nashika, shairi nakutungia
Kamanda umeongea, kiwingu umeondoa
Hukutaka kusinzia,makosa kuyarudia
Jibu umetupatia, viva kamanda Lowassa

Mwananchi nimesoma, la jana nilinunua
Machoya yakatuama, dukuduku umetoa
Uliyosema Dodoma, Kwakweli yanavutia
Jibu umetupatia, viva kamanda Lowassa

Richmond kupasua, mapema uligundua
Kikwete ukamwambia, mkataba kuondoa
Rais akakataa, nini alitegemea?
Jibu umetupatia, viva kamanda Lowassa

Nape akashikilia, lile asilolijua
Mikoani kaambaa, uzushi kangangania
Jinalo kulichafua, wewe ukavumilia
Jibu umetupatia, viva kamanda Lowassa

Mapema nilitabiri, falsafa nikapinga
Magamba sikukariri, kuvuana sikuunga
Ukweli niliukiri, mantiki iso kunga
Jibu umetupatia, viva kamanda Lowassa

Mhuyu ndiye peke yake anayeweza kuiokoa tanzania.umesha safishika kiongozi wetu na shujaa unaye thubutu
 
hizi ndo akili zenu MAGAMBA ujinga mwingi na hamjiamini hilo loote linatokana na kubebana!

Wewe unaejiamini nenda katafute mawakili kisha umfungulie kesi Mheshimiwa Lowassa.
Unapokuja kupayuka hapa ni kujenga chuki za kitoto tu.
Onyesha ujasiri wako kwa kufuata maelekezo niliokupa na si kukurupuka tu
 
Lowasa huyu huyu au mwingine? Si huyu aliyetuambia uchumi wa nchi unapaa? Si huyu aliyekuja kutudanganya na mvua ya kutengeneza toka thailand? Si huyu aliyefanya madudu ya Richmond? Huyu ndo awe rais wa tz???

sitarajii watanzania wataruhusu jambo baya kama hilo. Natamani ccm wampitishe awe mgombea wao ili nchi ikombolewe! UNITED WE STAND against evils.

Kipindi Muheshimiwa Lowassa alipokuwa PM uchumi ulikuwaje na sasa hayupo Madarakani uchumi ukoje?
Swala la mvua ya kutengeneza unataka kuniambia science hii nayo pia huijui?
Then kuhisu swala la Richmond ni kuwa juzi alilielezea wazi kwa kusema yeye alikuwa tayari kulibutua, ila alipolipeleka kwa mkuu wa nchi ndio ikawa vile tena....
Acha chuki na hoja dhaifu za vilabuni.
 
Sasa itakuwaje kati ya Dk Slaa, na Lowassa?

Ukiwaweka hao wawili kwa pamoja ni kwamba Lowasa atachukuwa kwani bado ni mtu anaekubalika sana ktk jamii,tofauti na tufikiliavyo sisi wana JF
kumbuka watu wa sasa wanaelewa pumba na mahindi,hata zile propaganda anazozifanya NAPE juu ya kulipiza kisasi kwa Mh Lowasa watu wanazifahamu vizuri sana na mwisho wa siku ni Nape kuishia ktk janga la aibu juu ya huyo Mh Lowasa

kiukweli namkubali Mh Lowasa ni chaguo nzuri kwa CCM 2015
 
Mkuu Kambota nlijua unatumia keyboard kumbe kalamu, haya bana iweke kalamu chini ngoja mi nijipange kwa ubeti wa saba.
 

Bado yupo, na kwa sasa anaandaa dodoso a.k.a questionaire kwa ajili ya watuhumiwa wa pande zote mbili-upande wa akina Nape na upande wa akina EL! Moja ya maswali yaliyopo kwenye dodoso hilo kwa upande wa akina EL ni:
Qn:1. Mheshimwa Waziri Mkuu Mstaafu, eti kweli inawezekana mtu kama wewe mweneye utumishi uliotukuka inawezekana kweli ukawa fisadi?! I can't believe it at all; is it true?
Instruction to answer this question is YES or NO!

Qn:2. Mr. Honarable Excellence Unquestinable Lawyer Ndugu Andrew Chenge; is it possible kweli kwa m2 kama mimi nisiwe na tujisent kama tule nje ya nchi wakati nina tung'ombe zaidi ya laki moja?

Instructions to answer: Strictly, my answer should be POSSIBLE or IMPOSSIBLE., over!

Na dodoso kwa Nape na wenzake!
Wewe nape a.k.a Vuvuzela mwenye roho ya korosho, roho mbaya mwenye kijicho na roho ya kwanini, kv tu babako alikufa maskini; Briefly, explain with vivid and strictly strong and unquestionable evidence approved by undoubtful lawyers, as to why u should not be fired from the part u fail u to submit the demanded evidence?!

ril nimecheka sana,unquestionable lawer???????
 
Safi kamanda lowasa,hakuna slaa wala babu silaa,eko Kamanda lowasa,uraisi ni wako.
 
Back
Top Bottom