Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Lowassa na ujanja wake wote eti nae bila ajizi aliamini na kuandika barua ya kuigiza kujiuzuru na kisha akaondoka kurudi Dodoma mjini usiku ule. [/QUOTE]
Unajua nini? Wote ni wajanja, lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya mjanja aliekulia Monduli na mjanja aliyekulia Magomeni!!!
Duh! Imetulia kinoma!...... Tena mjanja wa Magomeni ni mwana-Saigon Camp!....