JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Japo chadema inahitaji wanachama wengi, si Lowasa! Ni mchafu sana, fîsadi, mla rushwa, tamaa, mlafi! Huyo anafaa sana Act!
Akiamia kwenu mtasema amekuwa muungwana
Nikisikia cdm naona kama uchafu
Kumeendelea kujitokeza taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh. Lowassa kuhamia chama cha Chadema.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mh. Lowassa amekabidhiwa kadi ya Chadema, ameshiriki uzinduzi wa tawi la Chadema na kwamba kutaandaliwa mkutano wa kumkaribisha katika viwanja vya jangwani.
Kwa mara nyingine tena, ofisi ya Mh. Lowassa inakanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli na zenye kutaka kupotosha umma wa watanzania.
Imetolewa na ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge)
Edward Lowassa Official Online Office
Akiamia kwenu mtasema amekuwa muungwana
Nikisikia cdm naona kama uchafu
CHADEMA ndio chama pekee tanzania chenye lengo la dhati na chanya kwa taifa hili, so ni lazima uone uchafu sababu ccm hakuna anaye ipenda chadema maana imewaumbua dili zenu nyingi sana, kaa chonjo itakusafisha na wewe si mda mrefu.
Mtaitaka ACT TanzaniaAende zake huko ACT kwa wasaliti na wachumia tumbo
CHADEMA hakina hadhi ya kuungwa mkono na watu makini kama Mh.Lowassa.
CHADEMA hakina hadhi ya kuungwa mkono na watu makini kama Mh.Lowassa.
Mlango uliongoa mm nimeshatoka ndio mana nikaona uchafu mkubwa sana
Hivi sasa
Tunawasilimisha na kuwabatiza watu kwa sera ya
Kuvuwa gwanda
Kuviwa gamba
Na kuuvaa uzalendo
Bado ww tutakufikia tu ww na utauvaa uzalendo