Elections 2015 Lowassa akanusha tetesi za kuhamia CHADEMA

Elections 2015 Lowassa akanusha tetesi za kuhamia CHADEMA

In politics, there is neither permanent friends nor permanent enemies!, there is only a common interest!.
Wale wapenzi wa huyu jamaa yangu msiwe na wasiwasi, kauli hizi ni payment tuu ya kitu kinachoitwa "lip services", alisema tutajadiliana jinsi ya kuvuka daraja, tutakapofika darajani!. Kwa sababu sasa bado hatujafika darajani, subirieni tutakapofika, kama lengo ni kuvuka daraja, then itatumika njia yoyote kuvukia, na ikitokea kivuko cha CCM kikamtosa mtoni, atashika kamba yoyote kujiokoa afike salama, vinginevyo kama na yeye ameanza kukata tamaa, na sasa yuko tayari kuzama na meli mbovu wafe wote!.

Baada ya Mrema kusema mbovu siku ile kule bungeni na kukiuka the rule of "collective responsibility" nilimuuliza kama atahama CCM!, alisema "sihami na nitafia CCM!", hata mwezi haukupita alihamia NCCR!.
Lilipotokea tifu huko NCCR mako pia nilimuuliza tena kama atahama, akasema this time haami NCCR, atafia NCCR na ko haukupita mwezi alihamia TLP!. Kwa vile TLP ametangazwa ni rais wa maisha "life president" hivyo msishangae mambo yakibadilika!.

Kwa situation ilivyo as of now, hutu jamaa ndio maarufu kuliko mgombea yoyote mwingine wa CCM save for his frail health status, ila pia Chadema haina mgombea wa calibre yake!, ukawa haina mgombea kabisa!, kama afya sio mgogoro, CCM wakimtosa, he has no any other option ya kutimiza ndoto yake but to cross the line!, kazi ya kwanza atawaambia Watanzania mmiliki halisi wa Richmond na why he had to carry that cross!, watt watabaki midomo wazi!, then at a cross the line and believe me, tutampa and this is the only way CCM Chali!.

Pasco.

Pasco,

Wakati Mwingine ni kama vile uko under influence.
 
Last edited by a moderator:
Kumeendelea kujitokeza taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh. Lowassa kuhamia chama cha Chadema.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mh. Lowassa amekabidhiwa kadi ya Chadema, ameshiriki uzinduzi wa tawi la Chadema na kwamba kutaandaliwa mkutano wa kumkaribisha katika viwanja vya jangwani.

Kwa mara nyingine tena, ofisi ya Mh. Lowassa inakanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli na zenye kutaka kupotosha umma wa watanzania.

Imetolewa na ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge)

Edward Lowassa Official Online Office

duh!

ndio kusema habari za Mujini ni UKAWA na CHADEMA tu basi? Kwa nini hawavumisha kuwa Mh Lowasa kakaribishwa ama kuhamia vyama vinginge?
 
Kumeendelea kujitokeza taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh. Lowassa kuhamia chama cha Chadema.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mh. Lowassa amekabidhiwa kadi ya Chadema, ameshiriki uzinduzi wa tawi la Chadema na kwamba kutaandaliwa mkutano wa kumkaribisha katika viwanja vya jangwani.

Kwa mara nyingine tena, ofisi ya Mh. Lowassa inakanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli na zenye kutaka kupotosha umma wa watanzania.

Imetolewa na ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge)

Edward Lowassa Official Online Office

Siku EL akihamia ccm them nchi itatetemeka
 
atunashaka ndugu chama chetu ni chakizalendo na donesheni ndio mpago na sera ya act
Waliokuwa na hofu ya kutochaguliwa ni wale waliokuwa wanawapiga wenzao na kuwawekeya vikwazo kibao iliwapite bila kupingwa
alliance for cowards Tanzania
 
Japo chadema inahitaji wanachama wengi, si Lowasa! Ni mchafu sana, fîsadi, mla rushwa, tamaa, mlafi! Huyo anafaa sana Act!

We kama ni kiongozi au mwanachama wa CHADEMA basi umekosea kuwa mwanasiasa na chama chako kimepotea njia kwa kuwa na mwanachama au Kiongozi kama wewe.
Hivi huwa haujiulizi ni kwa nini watu wengi wanakifananisha chama chako na taasisia au wanaharakati tu na sio chama cha siasa?

Lengo kuu la chama cha siasa chochote duniani ni kukama dola. Sio kutangaza watakatifu ;hayo yanabaki mambo ya kanisa huko vatikani. Katika karne ya leo hakuna siasa zinazoongozwa na watu maskini. Angalia hata ndani ya Chadema maskini ndio wanaokiua kwa usaliti wa kununuliwa na kuanzisha migogoro sio kwamba wanapenda ila wanaangalia umaskini ulioko nyuma yao. Usimuone mbowe anapigania CDM kwa nguvu zote ni kwa sababu ameshiba na ni vigumu kumrubuni sio kwamba ni msafi la hasha ametajwa sana kwenye matukio machafu ya kukitumia chama kama sehemu ya kujipatia faida za kibiashara.
Mtu mwingine ni Dr. Slaa yeye alipoombwa agombee urais kitu alikataa mpaka alipohakikishiwa kwamba endapo atashindwa atalipwa mshahara mkubwa unaoendana na wa mbunge ambapo alikua na uhakika wa kushinda ubunge.

Hakuna chama duniani katika wakati huu wa ushindani wa kushika dola na kuongoza nchi kinaweza kumkataa mtu aliyeyoka kwenye chama pinzani eti kwa sababu ya tuhuma zinazotolewa na tume za kibunge .
Tume ambazo zinaweka mbele maslahi ya kisiasa sio maslahi ya Taifa.

Hivi unategemea kama zingeundwa tume za kibunge enzi za Nyerere kuchunguza vifo vya watu wakati wa oparation za vijiji vya ujamaa majibu yake si yangetuonyesha kuwa Nyerere na Serikali yake alikua ni mkatili kuliko kiongozi yeyote katka awamu zote?

Hivi unafikiri ni kwa nini kwa awamu zilizopita isipokua ya sita ambaye aliweka mbele maslahi binafsi ya kuutaka urais, maspika wote wamekua wanalinda serikali na kuzima hoja zinazomtaja mh. Rais? Huoni kwamba Chama kikubwa kama CCM kimejikuta kikiingia kwenye mgogoro na mpasuko kutokana na siasa za kukamiana alizozianzisha Samwel Sita na kundi lake?

Mfano tu pamoja na uchapa kazi mkubwa wa L. Nyarandu lakini kuna wabunge wanatamani iundwe tume ili imchafue atolewe madarakani kama Kagasheki.

Hivi unategemea ikiundwa tume ya kumchunguza Mbowe na Slaa ndani ya makundi ndani ya CHADEMA kutokana na tuhuma zinazotajwa kwao (japo mimi binafsi sioni kama zinamsingi wowote kwenye hizi nchi zetu changa ambapo siasa ndo ajira na sehemu ya uwekezaji kwa wasomi ) ;je unafikiri wataandikwa vyema kwenye ripoti ya tume husika , au ndo wangeshauriwa wajipime na kisha wajiuzulu?

KAMA MALENGO YA SIASA ZA CHADEMA NI KUPATA WANACHAMA NA WAGOMBEA WACHUNGAJI,MASHEHE NA MAPADRI TU BASI KITAKUA CHAMA CHA UPINZANI MILELE na mwaka 2015 kama CCM haitasambaratika basi chadema haitapata wabunge zaidi ya 6.
 
CHADEMA ndio chama pekee tanzania chenye lengo la dhati na chanya kwa taifa hili, so ni lazima uone uchafu sababu ccm hakuna anaye ipenda chadema maana imewaumbua dili zenu nyingi sana, kaa chonjo itakusafisha na wewe si mda mrefu.

Karibu sana jembe lolote toka CCM
 
Mlango uliongoa mm nimeshatoka ndio mana nikaona uchafu mkubwa sana Hivi sasa Tunawasilimisha na kuwabatiza watu kwa sera ya Kuvuwa gwanda Kuviwa gamba Na kuuvaa uzalendo Bado ww tutakufikia tu ww na utauvaa uzalendo
Wenzenu jana wametwangana sababu ya posho mnazo pewa na ccm kupigwa panga na wajanja au hujasikia??ACT club ya wasaliti na mtajazana huko na mwisho mtaanza tena wenyewe kwa wenyewe maana hii club yenu hata haieleweki,
 
TAARIFA YA KUKANUSHA KUHAMIA CHADEMA SOURCE: Ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge

Kumeendelea kujitokeza taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh. Lowassa kuhamia chama cha Chadema.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mh. Lowassa amekabidhiwa kadi ya Chadema, ameshiriki uzinduzi wa tawi la Chadema na kwamba kutaandaliwa mkutano wa kumkaribisha katika viwanja vya jangwani.

Kwa mara nyingine tena, ofisi ya Mh. Lowassa inakanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli na zenye kutaka kupotosha umma wa watanzania.

Imetolewa na ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge)

attachment.php
 
Lowassa bado ni MwanaCCM, UVCCM Monduzi tunajivunia Mbunge Wetu. Mzee wa Maamuzi Magumu.
 
Seriously CDM wanamtaka huyu mtu mpk Waanze kujizushia au Mh.Lowasa ndiye ameamua kuja kivingine ktk kutaka jina lake lisikauke midomoni mwa Watanzania?
 
Seriously CDM wanamtaka huyu mtu mpk Waanze kujizushia au Mh.Lowasa ndiye ameamua kuja kivingine ktk kutaka jina lake lisikauke midomoni mwa Watanzania?

Huyu ni reject,Chadema ipi anayoisema?
 
Namshauri lowasa kwa heshima yake tu akimaliza muda Wake,akapumzike.
Aachane na stress za siasa
 
[h=5]TAARIFA YA KUKANUSHA KUHAMIA CHADEMA SOURCE: Ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge[/h] Kumeendelea kujitokeza taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh. Lowassa kuhamia chama cha Chadema.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mh. Lowassa amekabidhiwa kadi ya Chadema, ameshiriki uzinduzi wa tawi la Chadema na kwamba kutaandaliwa mkutano wa kumkaribisha katika viwanja vya jangwani.

Kwa mara nyingine tena, ofisi ya Mh. Lowassa inakanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli na zenye kutaka kupotosha umma wa watanzania.

Imetolewa na ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge)
LOWASSA Hawezi Kwenda Chama Cha OVYOOOOOOOOO! Kama CHADOMOOOOOO!
 
Back
Top Bottom