Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende zake huko ACT kwa wasaliti na wachumia tumbo
Never trust a politician
Hayo mbona ni maneno ya kawaida sana kwa wanasiasa?kama mtu anaweza kukuambia tuna hakikisha barabara zote tunaweka lami mijini alafu unakuja unakuta kati kati ya jiji kuna vumbi..........aaaaaaaaahhhhhhhhhh alafu unasema sijawahi sema au kuahidi ndo siasa zilivyo,unambiwa mtaji mkubwa wa siasa/mwanasiasa ni uwongo so guys take a note
Jamaa wanachungulia chaguzi zinazoendelea, wanaona hawawezi kuchaguliwa tena wanakuja kupiga hela kwenu wakijifanya wametimka kumbe wameona hakuna nafasi tena kwa wachumia tumbo na ninyi mnashangilia!? kweli wajinga ndio waliwao! Watapiga sana hela wakati huu!!
Kumeendelea kujitokeza taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh. Lowassa kuhamia chama cha Chadema.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mh. Lowassa amekabidhiwa kadi ya Chadema, ameshiriki uzinduzi wa tawi la Chadema na kwamba kutaandaliwa mkutano wa kumkaribisha katika viwanja vya jangwani.
Kwa mara nyingine tena, ofisi ya Mh. Lowassa inakanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli na zenye kutaka kupotosha umma wa watanzania.
Imetolewa na ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge)
Edward Lowassa Official Online Office

Toka kwanza msalani ndio uje tujadilî!
Hapa Lowasa anataka kutishia nyau, Mueleze aendeleze mchakato wa kutimiza ndoto zake hukohuko CCM, Kama anamawazo yoyote ya kwenda CHADEMA aeleze ukweli Richmond ilikuwa yake au ya Mkware, hapo ndo tutafikiria kumsamehe madhambi yake.

Hapa babu Slaa?Never trust a politician
Lowwasa hawezi isaliti ccm,Chadema gongo mnaota