Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
James Njau yuko upande gani?
Seriously CDM wanamtaka huyu mtu mpk Waanze kujizushia au Mh.Lowasa ndiye ameamua kuja kivingine ktk kutaka jina lake lisikauke midomoni mwa Watanzania?
Hizi mbio za urais ndio mahali wanaccm siasa xenu za majitaka zitaonekana vizuri. Karibia wote humu kwenye huu uzi ni wanaccm mnajichafuana wenyewe kwa wenyewe. Ila ni bora mchafuane ili mwisho wa siku mbomoke uozo wenu tuuone vizuri.
Hivi kweli unaamini kuwa CDM wanamtaka Lowasa tena baada ya kumuita fisadi numba 1 pale mwembeyanga? Anyway, hiyo ni janja ya design za kina January au Membe ili kumpunguza nguvu. Kwa uzushi kama huu watamfanya asiaminike CCM. Hata Salim walianza kidogo kidogo kidogo kidogo 2005 mpaka mwisho wakamchafua moja kwa moja mpaka hii leo itakuwa vigumu kumsafisha. Kuna watu watahoji kwa nini CDM wako kimya kama siyo kweli unaamini.............. lakini CDM wamekaa kimya ili CCM wajimalize wenyewe, period!!
Lowassa akiamia Chadema mi naamia ccm siwez kaa na mwiviLOWASSA Hawezi Kwenda Chama Cha OVYOOOOOOOOO! Kama CHADOMOOOOOO!
Karibu Eduwad
Lowassa akiamia Chadema mi naamia ccm siwez kaa na mwivi
mnatupotezea muda na propaganda za kujikuna na kucheka wenyewe.
Lowassa bado ni MwanaCCM, UVCCM Monduzi tunajivunia Mbunge Wetu. Mzee wa Maamuzi Magumu.
naunga mkono mkuu, chadema wakidiriki kufanya ujinga huo wamekwisha!Lowassa akiamia Chadema mi naamia ccm siwez kaa na mwivi