laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
Wana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Akifikishwa court hiyo msije sema kaonewa kwa kua ni mchezaji wenuHiyo mahakama ya mafisadi ipo hai kweli......kuna kesi yoyote inayoendelea hapo.?
Mahakama itaamua, wasiwasi wa nn?, Kila goti litapigwaMnataka kumuundia zengwe tu mzee wa watu ili naye akanyage pale Kisutu. Maana ndiyo zenu ccm kuwasumbua watu.
Tangu muanze kuibua tuhuma nzito za uhujumu uchumi na ufisadi ni nani amefungwa?? Wooote wanashinda. Mnakurupuka mno.
Miaka 2 imeisha, tuko mwaka wa 3 sasa. Tunachokiona ni kuzuahiana na kuchafuana tu. Hiyo mtukufu ana frustrations hivyo hukurupuka tu.Mahakama itaamua, wasiwasi wa nn?, Kila goti litapigwa
Wana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] peleka hao peleka tuuuu wakanyeee debeWana Jf.