Tetesi: Lowassa alijimilikisha hisa za Vodacom na Alphatel kinyume cha sheria?

Ujue mtoa mada kwa nafasi yako ya "Presidential appointee" hupaswi kuleta vitu cheap kiasi hiki! ni wivu huo huo kwa EL uliomfanya m/kiti mstaafu kumuonea wivu kisa alikua anaingiza $400000 per day ndio yeye akaja na "viettel" ..acheni ufyolo..
Huyo nae kapewa nafasi ya kuteuliwa na Rais au utani?
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Alphatel ilipataje mkataba wa kugawa vocha Vodacom?
Pumb.avu kabisa,unauliza ilipataje ili iweje?Yaani mimi nikitawa na mahindi yangu utanipangia nimpe nani anisaidie kuuza?Na una haki gani kumuuliza anayeniuzia mahindi yangu alipataje hiyo kazi?
Wivu wa kike ukiuona kwa janaume kama hili huwa inakera sana
 
Ujue mtoa mada kwa nafasi yako ya "Presidential appointee" hupaswi kuleta vitu cheap kiasi hiki! ni wivu huo huo kwa EL uliomfanya m/kiti mstaafu kumuonea wivu kisa alikua anaingiza $400000 per day ndio yeye akaja na "viettel" ..acheni ufyolo..
Kwa hiyo unamfaham laki si pesa ni nani humu mwe
 
Twende kwenye hoja wezi wa airtel kwanza
 
Kama huna habari za kujitoshereza na umejaa umbeya kwa nini umetoa taarifa ya uzushi na badala yake unatuomba tukujuze. Acha kuchafua watu bali jaribu muungwana.
 
kwamba Vodacom nayo ni ilikuwa ya serikali idiots
Alphatel ilikuwepo nyakati hizo za biashara motomoto ya mawasiliano kwa njia ya simu za mkononi kama msambazaji mkubwa wa huduma kama vocha, matangazo ya makampuni za simu za mkononi hasa mabango makubwa barabarani n.k..........usikate ndugu. Watu wakiletaga kitu humu ujue tayari wanaclue flani. Na haikuwa ikihudumia voda tu!
 
TUPATIE HIYO HABARI...HATUTAKI HISIA HAPA NA CHUKI ZA KIJINGA !
 
Narudia tena Elimu Elimu Elimu.Elimu ni muhimu sana mkuu ni kua umepata umbea wa kijiweni na unakuja hapa ujaziwe nyama,why usiombe hao hao wakujazie nyama ili na sisi tujue zaidi kuhusu hilo.

Be wise
 
Kwa sasa linalo endelea ni la Airtel na Ttcl hilo la voda subiri kwanza.
 
Kwa sasa linalo endelea ni la Airtel na Ttcl hilo la voda subiri kwanza.
la airtel na ttcl ndio limeshaisha hilo unadhani kuna kingine utakachosikia tena?sikia? au hii nchi huijui....makinikia unasikia tena? vichwa ya treni unasikia tena? zile gari zilizokamatwa bandrin unasikia tena?...hiyo ya airtel ndio imeshaisha hutasikia chochote tena
 
Tuhangaikie kwanza mali yetu Ttcl na wizi ulifanyika kwa mgongo wa ubinafsishaji
 
Dah!! Ila natamani kusikia kuwa la ttcl limeisha kwa ttcl kuichukua Airtel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…