Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,921
- 4,683
Hapa itakuwa mkuu wa kaya Kapata kiwewe kwa yale EL atakayomwaga ikabidi amtumie simu haraka na kumhakikishia kwamba Nec ijayo haina ajenda ya kumvua gamba. Tena atakuwa amemwambia huoni jinsi ambavyo nimekisogeza kikao cha nec na cc ili kuhakikisha naondoa hilo wazo la gamba?. Itakuwa amemweleza kuwa nina mpango wa kukisogeza kikao hicho cha nec mpaka baada ya kikao cha bunge cha November kukwepa maamuzi kujadiliwa ndani ya bunge. Na atakuwa amemalizia kwa kusema, Sii unajua usanii ni fani yangu? Na kwa huo tunawaburuza wabongo.
Ha ha haa simu hii imefuta yote aliyotaka kusema EL. Ila namsikitikia kwakuwa atakuja kuyasema akiwa keshavunjwa miguu ndani ya ccm.
.
Ha ha haa simu hii imefuta yote aliyotaka kusema EL. Ila namsikitikia kwakuwa atakuja kuyasema akiwa keshavunjwa miguu ndani ya ccm.
.